X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,116
Wote tunajua kazi ya moyo ni kusukuma damu lakini pengine moyo huwa na kazi nyingine nyingi za ziada zaidi ya hiyo kuna watu wanatembea lakini mioyoni mwao wamebeba maumivu, karaha na manyanyaso wanaumia mioyo yao kiasi cha kutamani ardhi ipasuke wazame ndani yake,kunawengine wanajikuta wanaongea wenye barabarani kama wendaazimu lakini yote hayo eti chanzo ni MAPENZI.
Kuna wengine kila wanapo jaribu kuanza uhusiano yanajirudia yale yale wanaumizwa wanajikuta wanapoteza kabisa ladha ya kupenda,wengine wanadiriki kujuta na kujilaumu kwanini wamejiingiza kwenye mapenzi,wengine wanaamua kujiua ili wapotee kwenye huu uso wa dunia kuepuka maumivu ya moyo chanzo kikiwa ni haya mapenzi,watoto wa mitaani wanaishi kwa shida na manyanyaso eti pia chanzo ni mapenzi,wengine wamejikuta wanaingia kwenye matatizo chanzo vile vile kikiwa ni kushindwa kuzizibiti hisia za mapenzi.
Haijarishi umeumizwa mara ngapi, haijarishi ni kiasi gani moyo wako unauma ni nacho jua mimi maumivu ya moyo hayana kipimo moyo unauma vibaya sana hasa pale unapomuona unaempenda anatanua na mpenzi mwingine ila kaa ufikili wewe unakondeana mwenzako yupo baa anastarehe na mwengine kakutupa akuhitaji tena utaumia utalia utatamani siku zirudi nyuma lakini hiyo haiwezekani unachotakiwa ni kuuponya moyo wako hakuna anayeweza kuja kukufuta machozi zaidi ya wewe mwenyewe kujikaza na kuanza maisha upya.
Unatakiwa ukaze moyo wako na ufute mahusiano yote yaliyopita,kikubwa usimpe tena nafasi mpenzi aliekuumiza maana hawakawii kurudi kwa magoti na vichozi vya uongo ukimrudia ni sawa na kuamua kula matapishi yako mwenye,lazima atakuumiza tena na utaumia zaidi ya ulivyo umia japo siwezi kukushauri usipende tena maana wote tunajua pasipo haya mapenzi dunia isingefika hapa ilipo ila kabla ya kuamua kuanzisha mahusiano mapya hakikisha unajipa muda wa kuuponya moyo wako uliojeruhiwa hakikisha moyo unapoa kabisa jione huruma na utambue kuwa wewe ni wa thamani sana na hapajawahi kutokea mtu wa thamani kubwa ulimwenguni kama wewe.
Futa machozi na uambie moyo wako kua hutaumia tena na hutalia tena kuachana na mpenzi sio kifo enh hutokufa maana mapenzi ni kitu kidogo sana usiruhusu mapenzi yautese moyo wako kiasi cha kutaka kujizuru maisha yako ni ya umuhimu sana kaa ufikiri jinsi familia yako inavyo kutegemea amini iposiku na wewe utapata familia bora yenye furaha, upendo, na amani kuumia ni kama funzo ili kupata umahiri wa kuweza kuhimiri mahusiani mapya yatakayo upa moyo wako furaha,jifunze kula maana najua maumivu ya moyo uliyo yapata yamesababisha upoteze radha ya chakula.
Najua kuutibu woyo uliovunjika inahitaji muda, sana lakini Mungu ametupa uwezo mkubwa wa kujitibu maumivu yetu na kupona kabisa,ebu fikiria tusingekuwa tunasahau leo hii dunia nzima ingekuwa na simanzi maana sidhani kama kuna ambae hajui maumivu ya kufiwa kuna watu wamefiwa na wazazi wanaumia wanalia ila mwisho wanasahau na maisha yanaendelea,vivyo hivyo unapoumia kwaajili ya mapenzi yachukulie hayo maumivu kama msiba,lia umia ila jitahidi usahau,kadri moyo wako utakavyo kuwa mgumu kupona ndivyo utakavyo zidi kuchanganyikiwa sasa ni maamuzi yako kuzidi kuumia uwe chizi au kuamua kusahau na kuendelea na maisha yako.
Maumivu ni mafunzo na kama usipojifunza kamwe huwezi kugundua kitu kipya na usipojifunza utaendelea kufanya makosa hayo hayo daima hivyo maumivu yako yawe funzo kubwa sana angaliaa ulipokosea mwanzo hakikisha uwezi tena kuyarudia maana maumivu yatakayofuata yatakuwa makubwa hutoweza kuyahimili itaendelea.