Maan utakuta mwanaume kagomba n mke wake kitu hakun hata mantiki halafu anavimba Kameza chura sababu wala haina kichwa Wal miguu kama haitoshi baasi status za whatasp zinabasilishwa Ka nguo huyo n...
Katika kundi la wanawake ninaopenda kuanzisha nao mahusiano au ninaopenda kua nao ni wenye mikia na wasio wanene, wanawake wanene niliwa exclude kwenye preference zangu na wasio na mikia.
Lakini...
Habari wana bodi,
Mimi ni miongoni mwa watu waliokuwa waumini wa kufunga ndoa duniani.Nilikua nikimuona mtu anaoa nilikua namsikitikia sana na kumuona kapotea maboya.Lakini baada ya kuishi maisha...
Hi my name is Princess aged 31 looking for a serious male friend, am a single mother and i am in need of single dad so that we can make a good relationship.
Wakati namtongoza nilivutiwa na sura yake nzuri lakini kwa kweli kuna jambo moja naliona kama haliko perfect kabisa.Ni binti wa miaka 24, tatizo lake ana matiti madogo yaani sijui ni ugonjwa au ni...
House girl alitandika kitanda cha bosi wake kama sehemu ya jukumu lake la kila siku. Alipomaliza akakitazama sana kile kitanda cha bosi wake akasema naweza kufa bure bila ya kulalia kitanda kama...
Jamani wana JF,naombeni msaada wenu.
Kuna shemeji yangu ana mtoto wa miezi 10, sasa mke wake kapata kibarua sehemu flani,kaniomba nishinde na mtoto wake siku mbili mi nikakubali,na mimi na mtoto...
Yaani siku hizi imekua fashion kudanganyana hasa katika mapenzi. Yaani wanawake wamefikia hatua wanafake mpaka maisha mradi tu kuficha ukweli.
Unakuta mwengine kinywaji chake Castle Lite lakini...
Wanawake wenye kati ya umri wa miaka 23 mpaka 33 wanaongoza kuwa na wanaume wengi kuliko wenye umri chini ya huo au zaidi ya huo.
Sababu kubwa ni kwamba wakiwa katika umri huo wanakuwa...
Huyu
Mwanamke kanshangza sana, tumekuwa tukiwasiliana kwa muda wa wiki moja hivi, pasaka nikamualika kwangu Aim yangu apajue, cha ajabu alivyokuja,
nimwonyesha dalili zote kuwa mie sina haraka...
Hili jambo limeniuma sana tena sana, wanawake wengi wanaonewa na waume zao bila kusema popote wakijua ndio kuvumilia kumbe hawajui wanajiua pasipo kujua inaniuma sana.
Nimeongea nawanawake zaidi...
Langumimi ni hili:Wadada please & please! Mkipendwa mpendeke,
Money is not a love,
Thamini Uwepo wa mwenzako,
Yaani hadi stress nani utamuoa...everygirl is an moneyfirst,moneyloving.
Where is...
Jamani uswahilini kuna vituko lakini raha. Kuna njemba imeshusha kipigo cha haja kwa mke akiwa bado hata shedo na lipstick za harusi hazija kauka.
Ilikuwaje? Jamaa anasimulia kuwa wakiwa wachumba...
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au...
Hili suala linanitatiza kwakweli inafikia kipindi mpaka mtu unaogopa kununua viepe, kuhusu kuku inajulikana wengi ni matahira tena vibudu, hili la viazi limekaaje, ubovu wake hutokea kwenye viazi...
Amani iwe nanyi ndg zangu.
Leo nimeona nizungumzie kidogo hawa wakubwa zetu makazini kwani asilimia kubwa walioajiriwa wanakumbana na changamoto nyingi na wengine wanaenda kukabiliana nao kesho...
Baada ya kumaliza sherehe ya ndoa yao, mama wa bibi harusi alimpa binti yake notebook yenye namba mpya ya Akaunti ya benki ikiwa na kiasi cha shilingi laki tatu.
Mama alimwambia hivi, "binti...
Habarini wanajf, Naomba maoni yenu tafadhali, kukaa kwanza kwa muda kwenye ndoa ndo muamue kutafuta mtoto ama kuwahi kuzaa; ipi sahihi zaidi!?
Binafsi sijaoa na sitarajii kupata mtoto mapema...
Mimi ni mwanaume 31,naishi Dar.
Nahitaji binti yeyote mwenye hofu ya Mungu aliye tayari kuanza maisha ya ndoa.
Mimi ni Mweusi,mrefu,mwembamba wa wastan na mtanashati.nina elimu ya chuo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.