Kwanini ukilala na mwanamke usipompa hela asubuhi anakudharau sana?

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha.

Sasa ukija swala la kudo iwe mchana au usiku mkimaliza anasikilizia unamtoa na sh. ngp usipomtoa ela anakudharau sana na huwa wananungunika sana.

Hivi wadau ukitoka kudo lazima umtoe mwanamke hela wakati starehe mmesikia wote na zaidi wao ndiyo wanasikia raha zaidi? Hapo umemtoa out mmekula, kunywa, hela ya lodge n.k, gharama ushatumia kama laki na nusu bado tena umtoe hela?
 
utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclere bill, nk but kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa Dem out same time atafanya kukukomoa aagize vitu vya garama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha... sasa ukija swala la kudo Iwe mchana au usiku mkimaliza anasikilizia unamtoa na sh. ngp usipomtoa ela anakudharau sana na huwa wananungunika sana hivi wadau ukitoka kudo lazima umtoe Dem ela? wakati starehe mmesikia wote na zaidi wao ndiyo wanasikia raha zaidi.. apo umemtoa out mmekula kunywa Lodge nk garama ushatumia kama laki na nusu bado tena umtoe ela?
For sale
 
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha.

Sasa ukija swala la kudo iwe mchana au usiku mkimaliza anasikilizia unamtoa na sh. ngp usipomtoa ela anakudharau sana na huwa wananungunika sana.

Hivi wadau ukitoka kudo lazima umtoe mwanamke hela wakati starehe mmesikia wote na zaidi wao ndiyo wanasikia raha zaidi? Hapo umemtoa out mmekula, kunywa, hela ya lodge n.k, gharama ushatumia kama laki na nusu bado tena umtoe hela?

Kwani kabla ya kumlala ulimwambia hutamlipa hela kwa kuwa wewe ni yatima na unastahili kusaidiwa?
 
Moja tu..
-Ukiwa umeoa utashiriki tendo lile pendwa kwa uhuru na furaha zaidi kwa sababu upo na chaguo lako sahihi..And then baada ya kumaliza tendo hilo hautadaiwa ada ya huduma mtumish.
Kweli, kwa maana hiyo naona gharama za uzinz na uasherati
 
Back
Top Bottom