Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Bundeskanzler

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
215
Reaction score
49
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.

Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu.

Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza!

Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!!

Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa?

Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.

NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!
 
Acha tamaa za kimwili kama kweli unampenda fanya anayokuambia tatizo kubla lanyie masharobaro ni kutaka kuduu kwanza na mlale mbele huyo demu kakustukia si bora umuache atafute mtu ambaye atakua na mapenzi ya kweli kwake sio nyie wana lambalamba
 
Kwema jamani hapo teh teh...................Napita tu!!
 
Acha tamaa za kimwili kama kweli unampenda fanya anayokuambia tatizo kubla lanyie masharobaro ni kutaka kuduu kwanza na mlale mbele huyo demu kakustukia si bora umuache atafute mtu ambaye atakua na mapenzi ya kweli kwake sio nyie wana lambalamba

mkuu huyu mwanamke nina malengo nae tena ya muda mrefu sanaa tatizo lake ni hapo hataki mkemia mkuu nithibitishe kiwango chake!
 
acha kumng'ang'aniza mtoto wa watu,unaweza kukuta hajawai kufanya
 
mkuu huyu mwanamke nina malengo nae tena ya muda mrefu sanaa tatizo lake ni hapo hataki mkemia mkuu nithibitishe kiwango chake!

Miezi minne ndio muda mrefu? Mi nilijua miaka, kunajamaa angu mmoja alikuwa na demu tangu sekondari na mpk tuna maliza shule 2004 hakuwahi mgusa demu na demu mwenyewe alikuwa na msimamo mpk ndoa jamaa kwa kuwa alimpenda alivumilia naye amekuja kupew tunda mwaka jana 2013. Na wametambulishana kwao sembuse wewe miezi 4.hiyo ni gia ya kumuingilia ukipta usepe mwisho wa siku unampotezea malengo yake na vijana wa siku hizi mnataka wanawake waaminifu na wenyekujiheshimu..wakijiheshimu kabla ya ndoa mnasema hamtaki mpk mpime
 
Subiri Kuuziwa mbuzi kwenye gunia............ amka hii ni "2014 na nusu"
 
mwe mwe mwe mweeeeeee nampongeza sana huyo mdada looo,huyo ndio wifeeeeee maana akijaribu tu kutanua paja amekwisha huwa hawaoi,anajua nn maana ya ndoa ni kutokudooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom