Wanawake wenye shepu na sura mbaya wapo katika kampuni ya maegesho (nps) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wenye shepu na sura mbaya wapo katika kampuni ya maegesho (nps)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kazikubwa, Aug 22, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa na uzoefu wa kuona kampuni mbali mbali zikiajiri mabinti wenye mvuto kwa ajili ya mapokezi, vitengo vya mauzo, mahotelini na hata kampuni za usafiri kama ndege na boti na maeneo mengi ya kibiashara kwa ujumla.

  Lakini hali imekuwa tofauti sana tena kupindukia, wanawake wote walioajiriwa na NPS wana sura mbaya na shepu isiyovutia hata kidogo. Pia wana matusi kidogo. Nauliza wajuzi, dhamira ya kampuni hii kufanya hivyo ni nini hasa?
   
 2. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Unamaanisha National Parking System?
  Sasa hujui ni ksbb gani?
  Sura ngumu hizo ni kwaajili ya kudai malipo yao ya Parking,ukiwazingua wanakukunjia sura mwenyewe unatoa.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hata wanaume hawana mvuto.....mayo....
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  sasa wewe inakuhusu vipi...acha kuvizia mabinti,naona hapo waamekukomoa
   
 5. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu mabinti wazuri wote wanakaa kwenye ma a/c sasa hawa muda wote wapo kwenye juwa unategemea nini???

  Mi nikiwaona mbege yote inakatika kichwani
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,201
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  nimecheka kidogo
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna mtu ambaye keshamuumba binadamu?
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Aisee wewe una nongwa wewe........................
  Ni nani kakwambia wana sura mbaya? Bila shaka utakuwa na makengeza wewe...... Ungejua jinsi wanavyokuwa warembo wakati wa majamboz wala usingebwabwaja humu. Halafu watamu kama kuku wa kienyeji....................LOL
   
 9. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  "Mzuri wa sura"/mbaya wa sura are not concepts! Sasa authority ya kusema fulani mbaya unaitoa wapi?
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sura mbaya ni relative sana.

  Halafu, mwanamke matunzo. Kumbuka hawa wadada wanapigwa na jua kuanzia asubuhi hadi jioni na aina ya mavazi yao si kama ya mfanya kazi wa benk.

  Kuhusu matusi, pia lililo tusi kwako kwa mwingine si tusi hama vile. Kuna watu K'maye ni kiunganishi wengine hata kutamka tu si rahisia.

  Pia kumbuka kila aina ya kazi ina lugha zake, konda wa daladala hawezi kuwa sawa na driller wa RC rig na si sawa na kuli na si sawa na air hostace.

  Hivi Naomi Campbbell angekuwa naishi kijiji Kimoja kule Nangurukuru angeonekanaje??
   
 11. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  bila shaka wewe utakuwa wa nps.
   
 12. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,623
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  Tatizo mleta mada hajui uzuri wa mwanamke na ndio maana ameleta mada hiyo, hajui kwamba hao anaosema wabaya ni mazingira tu ya kazi ndio yamewafanya awaone hivyo otherwise kama utawaangalia kwa jicho la upendo wa kibinadamu utagundua kwamba ni wazuri kuliko hata hao anaoamini ni wazuri kwa kuwa either wanavaa vitu vya ziada ambavyo vime-add value kwenye urembo wao. Watafute baada ya saa za kazi wanapotoka kwenye hiyo kazi ndio utaona uzuri wao uko wali
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,301
  Trophy Points: 280
  Wakiwa Wazuri mtawatongoza ili muwe mnapaki bure,
  Acha wabaki hao hao wenye "Sura ya Kazi"
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Makubwa jamani kumwita mtoto wa mwenzio sura mbaya.HUJAFA HUJAUMBIKA......unaweza kuwa deformed saa yoyote..chezeiya Sir God wewe!!!??
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Me naona wazuri tu!
   
 16. African American

  African American Senior Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uko sahihi. Duniani hakuna mwanamke mbaya-ubaya upo kwenye macho ya mtazamaji wala si kwa mwanamke.
   
 17. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Heb weka picha yako tukuone we mwenye sura yenye mvuto, ili tujudge kuwa hao unaowaongelea hawana sura nzur..............
   
 18. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo unataka kusema kuwa ukihakikishiwa kutopata kilema chochote kile kwa maisha yako yote yaliyobaki basi ni sahihi kuwabeza wale ambao wana sura mbaya au hata walemavu wengine. Mimi ninaamini sio sahihi kumuita binadamu mwenzio sura mbaya kwa sababu sio sahihi period. Hii mambo ya hujafa hujaumbika haihusiki kabisa hapo.

  Btw mimi ukiniita nina sura mbaya wala sijali. Sio ishu kabisa kwangu.
   
 19. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wazee kama wewe lazima mwasifie, kwa hiyo sioni ajabu.
   
 20. w

  wade kibadu Senior Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeona eee?
   
Loading...