Nataka nimwache, ana kifua cha flat screen

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Wakati namtongoza nilivutiwa na sura yake nzuri lakini kwa kweli kuna jambo moja naliona kama haliko perfect kabisa.Ni binti wa miaka 24, tatizo lake ana matiti madogo yaani sijui ni ugonjwa au ni mambo ya gene heritage.

Nikiwa naye kwenye faragha najikakamua kiutu uzima tu ila nashindwa kuenjoy mapambo halisi ya kifuani.

Wakuu hali ya binti kuwa na matiti madogo ni ugonjwa au husababishwa na nini?
 
we Asha boko atakufaa sana, ila sidhani kama ni tatizo ni maumbile tu hayo ila kila mtu na interest yake,nina mshkaji wangu mmoja (mwanaume) yeye anakwambia mwanamke akiwa mwembamba hata awe mzuri vipi hamtaki anataka mnene hata kama hana shape anakwambia mifupa haimvutii ila nyama nono aaaah!
 
Tehee binadamu bana hakosi kukosoa. Angekua na mtindi wa maana kama wa bi Fatu pia ungelalamika demu wangu ana mtindi kama ananyonyesha yatima, ana tu duchu pia lawama kwamba hatushikiki wala hatunyonyeki. Yaani bora tungepewa nafasi ya kuchagua kama nguo dukani itakayo kufaa ndio unanunua. Otherwise ni shida ndio maana tunaambiwa tuvumiliane kwenye mapungufu hakuna mkamilifu. Inawezekana hata wewe kuna kitu hakipendi ila anakuvumilia tu
 
Kwanza jiulize unataka nini kwa mwanamke kabla hujaanza kumfata... yani unataka kusema macho yako yaliona sura hayo mengine hukuona? kumbuka wewe pia huenda una kitu kimoja mwenzioo hakipendi ila anakustahmilia na huenda nikikubwa
sanaaaaaaaaaaaaaaa ..
 
Wakati namtongoza nilivutiwa na sura yake nzuri lakini kwa kweli kuna jambo moja naliona kama haliko perfect kabisa.Ni binti wa miaka 24, tatizo lake ana matiti madogo yaani sijui ni ugonjwa au ni mambo ya gene heritage.

Nikiwa naye kwenye faragha najikakamua kiutu uzima tu ila nashindwa kuenjoy mapambo halisi ya kifuani.

Wakuu hali ya binti kuwa na matiti madogo ni ugonjwa au husababishwa na nini?
Je nyuma nako ni flat screen???
 
Nashindwa kuelewa km unampenda binti wa watu au unamtaman.kwan matiti kitu gan km anakidhi vigezo vyote unavyo viitaji?

Sikia kaka km unampenda hiyo dada hana tatizo kabisa ila ni maumbile nae ndivo alivo,hatuwez wote tukawa sawa lkn km umemtaman bac anza kumtafutia sababu.

Upendo hauhusudu,hauhesabu mabaya,hautakabali,haujivun nk.

Hata ww unamapungufu yakwako hajamwambia mtu amekaanayo moyon na ameamua kuridhika na ww,we umekuja kumsema huku si vizur kabisa
 
Wakati namtongoza nilivutiwa na sura yake nzuri lakini kwa kweli kuna jambo moja naliona kama haliko perfect kabisa.Ni binti wa miaka 24, tatizo lake ana matiti madogo yaani sijui ni ugonjwa au ni mambo ya gene heritage.

Nikiwa naye kwenye faragha najikakamua kiutu uzima tu ila nashindwa kuenjoy mapambo halisi ya kifuani.

Wakuu hali ya binti kuwa na matiti madogo ni ugonjwa au husababishwa na nini?

Mbandike ya bandia
 
Back
Top Bottom