Wanaume njooni hapaa

Wanaume njooni hapaa

Double square

Member
Joined
Feb 15, 2016
Posts
58
Reaction score
16
Maan utakuta mwanaume kagomba n mke wake kitu hakun hata mantiki halafu anavimba Kameza chura sababu wala haina kichwa Wal miguu kama haitoshi baasi status za whatasp zinabasilishwa Ka nguo huyo n mwanaume anaejielewa kweli
 
Dogo acha kuhangaika na life la watu.. Fanya yako na family yako..
 
we dogo leo iwemwanzo na mwisho wako kuita wanaume nakutuelezea ulofa wako wa fb na what's ap pumb..v..
 
Ningekuwa karibu ningejikumbushia ile kitu inaitwa konz.i .....huwezi ita wananume alafu unashindwa kuwaelezea nn ulichowaitia...
 
Siku nyingine swali kama hili kaulize huko huko shule ya msingi
 
Maan utakuta mwanaume kagomba n mke wake kitu hakun hata mantiki halafu anavimba Kameza chura sababu wala haina kichwa Wal miguu kama haitoshi baasi status za whatasp zinabasilishwa Ka nguo huyo n mwanaume anaejielewa kweli
Wanaume wa Dar....
 
Siku nyingine usirudie kuleta mashudu kama haya alafu utuite wanaume tujadili
 
Na yeye apate tu-trophy point jamani.. apande cheo awe senior member JF.
 
hahaha n
FB_IMG_1461816575181.jpg
 
Yani nimekuja kwa spidi zoote.... Nlichokikuta sasa....
 
Jina la mtoa Uzi nalo ni tatizo........kama Uzi mwenyewe
 
Mshamkimbiza mwenzenu..Kaingia mitini baada ya kupata mashambulizi ya nyuki😀😀😀 Watu wabaya...
 
Back
Top Bottom