Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,638
- 12,061
Hili suala linanitatiza kwakweli inafikia kipindi mpaka mtu unaogopa kununua viepe, kuhusu kuku inajulikana wengi ni matahira tena vibudu, hili la viazi limekaaje, ubovu wake hutokea kwenye viazi, mafuta yanayokaangiwa au ni wapi hasa, karibuni wadau.