Nilimdanganya mpenzi wangu kwamba nimefukuzwa kazi na biashara zangu zimetaifishwa, baada ya masaa matatu alizima simu nikamtafuta mpaka kwao sikumpata na baada ya wiki mbili nikakutana naye...
nimekaa chini nikafikiria nikaona ninahitaji ushauri wa wadau kundini...mimi nna msichana wangu anayesoma chuo kimoja maarufu...siku tulitoka yeye na rafiki yake club kurud hostel nami nikalala...
Dunia hii imejaa kila aina ya mila na desturi. Kuna jamii fulani nchini Singapore ambapo baada ya harusi, siku ya kwanza kwenye tendo la ndoa, lazima familia kutoka pande zote mbili waje...
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 28,elimu yangu ni chuo kikuu,rangi yangu mweupe kiasi,urefu ni wastani pia nina mtoto .
Mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo
aje Pm,
1.Awe na umri kuanzia 18-26...
Asalaam
Kiukweli maisha ya mapenzi yanamambo mengi sana,huwa sishangai watu kujiua au kuamua kuchukua maamuzi magumu yenye athari za badae.Kifupi,nilikua ni muumini mzuri sana wa mapenzi na...
Good evening ladies and gentlemen,
Alamsiki,
Iftar njema kwa wote waliofunga.
Someday I'm gonna write the story of my life
I'll tell about the night we met and how my heart can't forget
The...
Ilishazoeleka toka enzi za mababu wanawake kunyanyaswa katika mahusiano, wanawake enzi hizo walikuwa wanalia sana na wakuwabembeleza hakupatikana. Naweza kuamini pengine wanawake walisali...
Jamani mimi nadhani mapenzi na warembo wa kitanzania yamenishinda. Nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye M-pesa yake, lakini yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna...
Habarini wanajf,wakati wa sexual inasemekana kuwa mwanamke pia huwa anamwaga but my self sijawahi kutana na hicho kitu tangu nianze kushiriki sex,asa natakakujua kuna tofauti ipi kati ya mwanamke...
Mambo vipi wananaMMU
Napenda nchukue wasa huu kutangaza kuwa natafuta rafiki mwana MMU wa kike,no condition and terms wote mnakaribishwa am new member by the way.
Naomba kuwasilisha.
Asante
Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, mabaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana maadui wengi.
Sasa akiwa ikulu na kama...
Mila na desturi za kuoa zinatofautiana kati ya kabila na kabila au taifa na taifa lakini kwa mila na desturi za Kiafrika hatujatofautiana sana ila kama unataka kuoa binti wa Kinaijeria ndugu yangu...
Heri ya weekend wadau!!
Iko hivi, miezi kadhaa imepita sasa Niko na uhusiano na binti mmoja hapa mjini! Sijawahi kubishana nae, yaani kwa kifupi tuko poa. Issue ni kwamba huyu binti akishtuka...
Imezoeleka na kuonekana kuwa wanawake wananyanyaswa na wanaume hasa linapokuja suala la uaminifu wa mapenzi.
Mbali na hayo wanawake pia wamekuwa wakibakwa na waume zao wa ndoa kwa maana ya...
Muda mwingine tukiwa tunawaacha ( kuwatema ) msiwe mnatulaumu kwani ni uzembe wenu ndiyo unatusababisha.
Unajua kabisa Mimi ni Mume wa Mtu na nilishakueleza kila kitu na hadi kukupa mwongozo...
Usipotumia mind katika mapenzi utaona dunia ni chungu.Mapenzi yanaweza kukuendesha kufanya na kufanya mambo usiyoyatarajia.Ikumbukwe kuwa mapenzi yanaspiritual power yake ambayo hutofautisha...
Poleni sana wandugu humu ,pole nyingi hasa kwa kaka Mentor kwasababu ambazo alizieleza yy mwenyewe ila muone Deception au Mzizi mkavu atakupa maelezo mazuri.
Nisiwe muoneaji sana ngoja niende...
Papa Francis amewataka Wakatoliki Duniani kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa madai kuwa si haki kuwahukumu na kuwachukulia kinyume kwani kanisa halina mamlaka ya...
Nawasabahi wanaMMU.
Ni Jumapili kama hii wiki moja imepita nilipokea simu ambayo imebadilisha maisha yangu na mtazamo wangu kuhusu mahusiano. Well, nilipokea simu na upande wa pili nikasikia...
Mawazo ni mlundikano wa matukio kwenye akili, yanaweza kuwa ni matukio mema au mabaya ila matukio haya huwa yanajirudia rudia kiasi cha kumfanya muwazaji kushindwa kuendelea na mambo mengine,mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.