The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,915
- 19,125
Katika kundi la wanawake ninaopenda kuanzisha nao mahusiano au ninaopenda kua nao ni wenye mikia na wasio wanene, wanawake wanene niliwa exclude kwenye preference zangu na wasio na mikia.
Lakini kama mnavyojua simba akiishiwa nyama hula majani ili tu asife,nami hivi karibuni nikawa nimempata mwanamke mnene, nimeenda nae kichwani nikkwa na akili kua wanawake wote wanene ni magogo kitandani kumbe sijua sahihi.
Sio wanawake wote wanene ni magogo, kuna wengine wahanganikaji, wapiganaji kitandani hata kuliko wasio wanene, huyu mwanamke wa juzi kanithibitishia hilo, kwa kua nia yangu ilikua kupiga na kupita kuendelea kutafta wanawake ninaowapenda ila huyu mwanamke kasababisha sasa kila mara naomba nae mechi ya kirafiki, alhamdurilah mtoto sio mchoyo anatoa mechi bila hata kibali cha FiFa cha friend match.
Nimebadili mtazamo, sio wanawake wote wanene ni magogo.