Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
Hi my name is Princess aged 31 looking for a serious male friend, am a single mother and i am in need of single dad so that we can make a good relationship.
We dogo huwa comments zako zinaniacha hoi wakati mwingine...hahaDammit! I always fall short somehow. 45, but no kid. FML. All the best tho.
Hi my name is Princess aged 31 looking for a serious male friend, am a single mother and i am in need of single dad so that we can make a good relationship.
Baba wa mtoto yuko wapi?
we kabila gani?dini gani?
Kwenye RED kwani amekwambia anataka kufanya tambiko ama kuswalisha? Hivi nyinyi watu bado mpo wakati huu dunia imekuwa kijiji?
We ndo una akili finyu
makabila yanasaidia kujua tabia za mtu
mwanamke wa kizaramo sio sawa na wa kijaluo...
We dogo huwa comments zako zinaniacha hoi wakati mwingine...haha
Hi my name is Princess aged 31 looking for a serious male friend, am a single mother and i am in need of single dad so that we can make a good relationship.
Dammit! I always fall short somehow. 45, but no kid. FML. All the best tho.
hahahahahahaha...ukitoa ile 35 ya ndoa,ulioa ukiwa na miaka ten!
Teh teh teh teh teh
Single mother hapana tafuta mwanaume aliyefiwa na mke wake labda utabahatisha.Mwanamke akishakuwa na mtoto ni majanga.