Kwanini wanaume wanaonitongoza ni choka mbaya?

Na bado kwa jinsi Magu anavyozidi kubana hata hiyo 30, 20 utaisikilizia kwenye bombaa....Wanaume wengi wameacha vimada vyao wale waliokuwa wanawaendeshea maisha kwa ajili ya pesa za mkato...Na baadhi ya kina dada waliokuwa wamezoea kuendesha maisha kwa kutegemea kuhongwa hongwa wanateseka sana sasa...
 
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.

Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
Kwa sababu we ni mbaya halafu ni choka mbaya Wa kutupwa yaani maswaiba zako Wa saizi yako ndo wanakutongoza.Ni kawaida tu usishangae
 
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.

Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls


Hao wenye nazo wanajua uchungu wa pesa pia wana waliotafuta nao. Vumilia hao choka mbaya mtafute.
 
Ukiona kijana ametulia na anazo jua kuwa kuna anayesababisha na akija kwako utamkataa baada ya kugundua kuwa ana mtu wake, na kama hana mtu lakni anazo vilevle anakuwa hajatulia na wewe hiyo hali hauipendi, sasabasi ni vyema ukatulia na huyo choka mbaya mkatafta vya kwenu na hiyo choka mbaya itaisha ni suala muda tu
 
Kama wanajua mapenzi, kujali, wamajiweka vizuri kiusafi na kujipenda, wanaheshima n.k. hapo hakuna shida kabisa ungejaribu kuwapa nafasi. maana pesa sio kila kitu mwanamke unawapa ushauri na kuwasapoti kujijenga.

Usisahau pia kujiangalia wewe ukoje pia na ujibadili.
 
Back
Top Bottom