Codexyz
Member
- Jun 10, 2016
- 5
- 0
Mimi ni mwanaume 31,naishi Dar.
Nahitaji binti yeyote mwenye hofu ya Mungu aliye tayari kuanza maisha ya ndoa.
Mimi ni Mweusi,mrefu,mwembamba wa wastan na mtanashati.nina elimu ya chuo na nimeajiriwa.
Mchumba ninaemtafuta awe anaishi dar,awe wa kabila lolote ila asiwe mchaga au mzaramo.
Kwa aliye serious ani PM tufahamiane zaidi.
Asanteni.