aida sanga
Member
- Jun 3, 2016
- 63
- 21
Jamani wana JF,naombeni msaada wenu.
Kuna shemeji yangu ana mtoto wa miezi 10, sasa mke wake kapata kibarua sehemu flani,kaniomba nishinde na mtoto wake siku mbili mi nikakubali,na mimi na mtoto wangu wa miezi 11 nakuwa nao wote.
Sasa shida inakuja hivi kaniomba nishinde naye siku 5 tena sasa mimi nikawa na mishe ndani ya siku mbili,nikamwambia sitakuwepo siku 2,basi mume wangu alivyoambiwa hivyo karudi kaanza nitamkia ninaroho mbaya siwezi ishi na ndugu zake maneno kibao.
Mwisho kabisa kaniambia niondoke nikiendelea kubaki atanifanya kitu kibaya na ilikuwa ni usiku wa saa 5, embu jamani nisaidieni nifanyaje mwenzenu.
Na nina mtoto mdogo hata mwaka bado