Nimegundua wanawake wengi (85%) wanateseka sana ndani ya ndoa

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
522
221
Hili jambo limeniuma sana tena sana, wanawake wengi wanaonewa na waume zao bila kusema popote wakijua ndio kuvumilia kumbe hawajui wanajiua pasipo kujua inaniuma sana.

Nimeongea nawanawake zaidi ya 20 walio wengi hawana raha ya ndoa au tuseme tuu ya maisha wanasema wanavumilia huku miaka inaenda wakiwa ndani ya mateso makali, Kama kulea familia wenyewe bila kusaidiwa na baba hata senti, kufungiwa nje bila huruma yani kufukuzwa, kutukanwa na kudharauliwa, kupigwapigwa hivyo hata kuachiwa ulemavu, kubebeshwa mzigo wa kulea watoto wenyewe au kutelekezewa watoto mwanaume akapotea kabisa nyumbani baada ya miaka kumi hadi ishirini ndio anarudi na watoto wanamfurahia bila mama kufanya lolote, wanaume 98% kutokuwa waaminifu ndani ya ndoa zao, kuambukizwa magonjwa ya zinaa na ukimwi, na kugeuzwa kuwa punda wake bila huruma, kwakweli hili jambo limeniuma sana wanaume walio wengi ni mashetani wanaigiza kuwa binadamu hivyo kupelekea wana wake kufa haraka.

Wanawake embu zindukeni kuna maisha zaidi ya ndoa, msikubali kufa mapema kisa neno ndoa yapo maisha zaidi ya ndoa bana msikubali kunyanyaswa hata kidogo yapo maisha bila mume na yenye amani msikubali utumwa nikujitengenezea kifo chakujitakia.

Hii ni rai kwa wanawake wote walio ndani ya ndoa nawale wanaotarajia kujiunga na ndoa, ndoa sio mateso, ndoa sio msalaba, ndoa sio uvumilivu wala ndoa sio lazima.
 
Ungetumia neno wanandoa badala ya wanawake kwani wanaume wengi sana nao wanaishi kwa tabu kwenye ndoa. Ungeongea na wanaume 10 tu ungekimbia. wanatukanwa, wananyimwa unyumba, wanapigwa, wanafichwa mambo muhimu, wanagombanishwa na watoto, wanasalitiwa laiv, wanasimangwa - kuna wanawake wana makelele balaa lakini hawathubutu kusema popote hata hapa JF wasipoonekana. Ni mfumo waliousherehekea unaweageukia wenyewe hasa baada ya wanawake kutoa hina mikononi. Sipendi mfumo dume wala jike hata kidogo. Tukemee uonevu wa aina yoyote kwenye familia. Wanandoa heshimianeni.
 
Ungetumia neno wanandoa badala ya wanawake kwani wanaume wengi sana nao wanaishi kwa tabu kwenye ndoa. Ungeongea na wanaume 10 tu ungekimbia. wanatukanwa, wananyimwa unyumba, wanapigwa, wanafichwa mambo muhimu, wanagombanishwa na watoto, wanasalitiwa laiv, wanasimangwa - kuna wanawake wana makelele balaa lakini hawathubutu kusema popote hata hapa JF
wasipoonekana. Ni mfumo waliousherehekea unaweageukia wenyewe hasa baada ya wanawake kutoa
hina mikononi. Sipendi mfumo dume wala jike hata kidogo. Tukemee uonevu wa aina yoyote kwenye familia. Wanandoa heshimianeni.[/QUOTE

Wanaume wanaonyanyasika sikatai pia wapo ila kaasilimia kadichu mno kulinganishwa na wanawake, Mimi nachotaka wanawake wajitambue ndoa isiwe taabu wala kero kwenye maisha yao, privileged ya kuishi ni fupi sana msikubali kuichezea kwenye mateso, fanyeni mambo yenu ya msingi the enjoy life kubembeleza ndoa Kama jipu sio akili ni kujimaliza peke yako bila kujua
 
Nini kimekusibu kwani? Tone yako ina uhai wa hisia za uchungu na hasira. Wewe fanya yako. Watakaotoka waache watoke, watakaovumilia waache wavumilie, watakaokufa waache wafe. Unafikiri hawajui kuwa kuna maisha nje ya ndoa? Kuna kitu kingine kinawaweka humo na kiko nje ya uwezo wako.
 
Ungewaoa wewe sasa, wazinduke kupitia uzi wako tu humu Jf? We wachukue woote ukae nao wapate faraja, mijitu mingine sijui mpoje
 
Hili jambo limeniuma sana tena sana, wanawake wengi wanaonewa na waume zao bila kusema popote wakijua ndio kuvumilia kumbe hawajui wanajiua pasipo kujua inaniuma sana.

Nimeongea nawanawake zaidi ya 20 walio wengi hawana raha ya ndoa au tuseme tuu ya maisha wanasema wanavumilia huku miaka inaenda wakiwa ndani ya mateso makali, Kama kulea familia wenyewe bila kusaidiwa na baba hata senti, kufungiwa nje bila huruma yani kufukuzwa, kutukanwa na kudharauliwa, kupigwapigwa hivyo hata kuachiwa ulemavu, kubebeshwa mzigo wa kulea watoto wenyewe au kutelekezewa watoto mwanaume akapotea kabisa nyumbani baada ya miaka kumi hadi ishirini ndio anarudi na watoto wanamfurahia bila mama kufanya lolote, wanaume 98% kutokuwa waaminifu ndani ya ndoa zao, kuambukizwa magonjwa ya zinaa na ukimwi, na kugeuzwa kuwa punda wake bila huruma, kwakweli hili jambo limeniuma sana wanaume walio wengi ni mashetani wanaigiza kuwa binadamu hivyo kupelekea wana wake kufa haraka.

Wanawake embu zindukeni kuna maisha zaidi ya ndoa, msikubali kufa mapema kisa neno ndoa yapo maisha zaidi ya ndoa bana msikubali kunyanyaswa hata kidogo yapo maisha bila mume na yenye amani msikubali utumwa nikujitengenezea kifo chakujitakia.

Hii ni rai kwa wanawake wote walio ndani ya ndoa nawale wanaotarajia kujiunga na ndoa, ndoa sio mateso, ndoa sio msalaba, ndoa sio uvumilivu wala ndoa sio lazima.
Ndugu,una uhakika kweli wanawake ndo wanakufa haraka kuliko wanaume?
 
Mateso ya mwanamke yanasababishwa na mwanamke mwenzake. Wakanye wanawake wenye tabia za kuchukua waume za watu hilo tatizo litaisha.
Hivi kwa nini wanawake tunapenda kulaumiana wenyewe sana? Huyo kimada alienda kumfuata Huyo mwanaume kwa mkewe akamchukua? Huyo bwana wakati anamtongoza hakujua kama ana mke? Watu wana maslahi yao mjini hapa, sasa jipendekeze kama hujavunja ndoa kwa upuuzi wako. Wanaume ndo chanzo, watulie huko na wake zao. At the end of the day mnaopoteza ndoa ni nyie wanandoa, kimada anahamia kwa danga lingine
 
Hili jambo limeniuma sana tena sana, wanawake wengi wanaonewa na waume zao bila kusema popote wakijua ndio kuvumilia kumbe hawajui wanajiua pasipo kujua inaniuma sana.

Nimeongea nawanawake zaidi ya 20 walio wengi hawana raha ya ndoa au tuseme tuu ya maisha wanasema wanavumilia huku miaka inaenda wakiwa ndani ya mateso makali, Kama kulea familia wenyewe bila kusaidiwa na baba hata senti, kufungiwa nje bila huruma yani kufukuzwa, kutukanwa na kudharauliwa, kupigwapigwa hivyo hata kuachiwa ulemavu, kubebeshwa mzigo wa kulea watoto wenyewe au kutelekezewa watoto mwanaume akapotea kabisa nyumbani baada ya miaka kumi hadi ishirini ndio anarudi na watoto wanamfurahia bila mama kufanya lolote, wanaume 98% kutokuwa waaminifu ndani ya ndoa zao, kuambukizwa magonjwa ya zinaa na ukimwi, na kugeuzwa kuwa punda wake bila huruma, kwakweli hili jambo limeniuma sana wanaume walio wengi ni mashetani wanaigiza kuwa binadamu hivyo kupelekea wana wake kufa haraka.

Wanawake embu zindukeni kuna maisha zaidi ya ndoa, msikubali kufa mapema kisa neno ndoa yapo maisha zaidi ya ndoa bana msikubali kunyanyaswa hata kidogo yapo maisha bila mume na yenye amani msikubali utumwa nikujitengenezea kifo chakujitakia.

Hii ni rai kwa wanawake wote walio ndani ya ndoa nawale wanaotarajia kujiunga na ndoa, ndoa sio mateso, ndoa sio msalaba, ndoa sio uvumilivu wala ndoa sio lazima.
ndo maana bado tupo tupo sana tu.
 
Hivi kwa nini wanawake tunapenda kulaumiana wenyewe sana? Huyo kimada alienda kumfuata Huyo mwanaume kwa mkewe akamchukua? Huyo bwana wakati anamtongoza hakujua kama ana mke? Watu wana maslahi yao mjini hapa, sasa jipendekeze kama hujavunja ndoa kwa upuuzi wako. Wanaume ndo chanzo, watulie huko na wake zao. At the end of the day mnaopoteza ni nyie wanandoa, kimada anahamia kwa danga lingine
Kwahiyo wewe ukifatwa na mwanaume wa mtu utakubali? Ukikubali ndio unanzisha mateso kwa mwanamke mwenzako lakini ukikataa na kumkemea uyo mwanaume utakua umemlinda mwanamke mwenzako.
Kufatwa sio shida,shida ni kufatwa na kumkubalia.
 
yani wanawake Tanzania nzima sample yao ni 20....come on!!! u gat to be serious utafiti gani wakijinga ivo!,,na umetumia criteria gan kufanya selection ya hao 20?
 
Back
Top Bottom