UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,585
- 1,885
Yaani siku hizi imekua fashion kudanganyana hasa katika mapenzi. Yaani wanawake wamefikia hatua wanafake mpaka maisha mradi tu kuficha ukweli.
Unakuta mwengine kinywaji chake Castle Lite lakini ukitoka nae atataka anywe Hennesy mradi tu. Wengine watakwambia hana mtu kumbe kuna behewa la wajamaa. Wengine wanavaa pete za ndoa ujue wameolewa lakini uongo tu, mara wengine utasikia hawawezi kumuomba mwanaume hela kumbe mama yangu afadhali hata Matonya.
Ni kwanini mnakuwa hivi?