Langu mimi ni hili: Wadada Please & please! Mtulie

Jun 21, 2016
19
37
Langumimi ni hili:Wadada please & please! Mkipendwa mpendeke,
Money is not a love,
Thamini Uwepo wa mwenzako,
Yaani hadi stress nani utamuoa...everygirl is an moneyfirst,moneyloving.
Where is TRUE LOVE now!
aah! the world of beast! I can't tolerate this!
Wadada mubadilike.
 
Haha...kwahiyo unataka kunambia wewe haujali pesa sio,vipi nafasi zimeisha au bado zipo tuwahi kabisa??

Napenda ndio maana natengeneza zangu pia hata nazopewa na wazazi nasevu kwa kwenda mbele...na hilo lazima dume lijue eeeeeh ila mtu usisarandie kuonyesha unataka pesa, mbabe, muongo na kulelewa ka bebi...uonyeshe unajua kuzisaka pia hata ikiwa shilingi moja unapata. juhudi upendeza hata mtaji waweza pewa na mwanamke. Bila kusahau kutoa mapenzi utwamwu wake mawaba na mawasiliano na kujifunza kujuana na kurekebishana ki mawaba. Mimi bado naota juu ya kuishi na mwanaume nasubiri mume nitakayepangiwa nafata ya kwenye biblia.
 
naomba nikupate ww mrembo, japo ni mpinzani wangu katika mambo fulani, siku mondi akibeba tuzo ndani silali
 
Teh teh teeeee mimi na wewe ni maji na mafuta. Hatutawezana kabisa ati unaonaje?

Ngoja niende snapchat nione karusha nini tena maana mie na yeye hajui tu...napanga nikutanishwe nae nimkumbatie na kumpa busu tamu la shavu. Labda leo atanisoma na kunitumia PM au akina Babu Tale na Salaam.

Siku moja nikiwa likizo Dar nitaweka kambi nje ya geti lake. Huku mkoani kwetu hajaja bado akija nitakuwa rafiki wa polisi na wakuu wote kwa sekunde moja nimfikie Simbaaaaaa
 
hahahahh, nakumbuka wakati nakua kuna familia mtaani baba alikuwa yanga mama simba.. kipindi kile simba wapo vizuri, mzee alikuwa analala mapema.. ushabiki huu
 
Napenda ndio maana natengeneza zangu pia hata nazopewa na wazazi nasevu kwa kwenda mbele...na hilo lazima dume lijue eeeeeh ila mtu usisarandie kuonyesha unataka pesa, mbabe, muongo na kulelewa ka bebi...uonyeshe unajua kuzisaka pia hata ikiwa shilingi moja unapata. juhudi upendeza hata mtaji waweza pewa na mwanamke. Bila kusahau kutoa mapenzi utwamwu wake mawaba na mawasiliano na kujifunza kujuana na kurekebishana ki mawaba. Mimi bado naota juu ya kuishi na mwanaume nasubiri mume nitakayepangiwa nafata ya kwenye biblia.
Hapo sasa nimekuelewa,you tried to be neutral, hivyo ndivyo unatakiwa uwe. Haya nambie mtanichaji ng'ombe wa ngapi kama mahari manake sisi huwa tunatoa ng'ombe tu(Kidding)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom