Hiyo ni kauli kutoka kwa baadhi ya wanawake. Je kauli hiyo ina ukweli kiasi gani? Kuna bahati mbaya moja, ambayo baadhi ya wanawake hawaijui.
Hii ni ile yakudhani kwamba, mwanaume...
Kuna mambo yanafurahisha hadi huruma.
Nimekaa na mdada hapa anahaha sio kidogo, kapigiwa simu na Bwana wake wakutane hapa sasa kawahi kufika bwana bado ndo kumwambia ale anywe chochote atakacho...
Hivi mnadhani waliosema mwanaume ni kiumbe dhaifu kwenu alikosea? Hivi ni makusudi mnafanyaga au? Unakuta dem ana umbo nzuri msambwanda huoooooooo alafu mkiwa faragha anakuletea style za mbuzi...
KWA jina ninaitwa Zakia Ramadhani, ni mtoto wa kwanza katika familia yenye watoto kumi, mama yangu aliyeitwa Zubeda Hassani na baba yetu aliyeitwa Saidi Ramadhani ambaye hapo tulipokuwa tukiishi...
Hellow wana JF,
Hii ni kwako wewe dada ambaye unatafuta mchumba (GENTLE MAN) mwenye KIPATO kinachoeleweka,
FANYA MAMBO YAFUATAYO ANGALAU MARA MOJA KWA WIKI;
PATA LUNCH AU DINNER RESTAURANT...
Natumai kila mwana JF ni mzima wa afya......
Katika kipindi hiki tunapoelekea kumaliza mwaka naamini kila mtu amejawa na furaha ya kutosha kulingana na kiwango chake.....
Hali ni tofauti kabisa...
Leo ndio siku tunayohitimisha sherehe za Christmas, lakini pamoja na kuwa ni sherehe kuna watu imewaendea vibaya. Natoa pole rasmi kwa wafuatao
Kwa wale ambayo wameachwa mataa kwenye mtoko...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato.
Aliye tayari tuwasiliane pm
Nimeamua nikiwa na akili timamu kabisa kwamba sasa napanga kwenda Rwanda kutafuta mtusi wa kuoa.
Kwa habari ya uzuri sina shaka kabisa na nina amini wadau mtaungana na mimi kwamba hawa watoto wa...
Za jioni wakuu..niende kwenye mada..
Katika mazingira ambayo mda mwingine hayazuiliki kwa namna yoyote ile, inabidi kuachana kwa wazazi. Na kwa sababu za aina yoyote ya maisha mda mwingine...
Kijana mmoja aitwae mwakabongo Leo ameonyesha kihoja pale alipokimbia ndoaa Kanisa LA KKKT usharika wa isanga
Akiongea kwahuzuni MCH WA KANISA HILO ANDAGILE MWAKAJUNGU AMESEMA KWAMARA YA KWANZA...
Jioni ya Leo nikapokea simu ya bro, Dogo nakuja home kukuchukua nikale nawe bata za mwisho mwisho karibuni sikupati tena.
Leo nikasema wacha nikaoshe macho kabla sijaingia kifungoni, chezea...
I know this is a passing fancy but 'the hell with it'.
Unakutana na mdada leo kesho eti anakuomba hela ya matumizi.
Hata soni hawana. Hata ile kujistukia kidogo tu nako hakuna.
Hivi kabla...
HADITHI NZURI SANA YENYE MAFUNDISHO NDANI YAKE
Kulikuwa na mfalme mmoja aliyekuwa na mbwa kumi wakali sana. Alipenda kuwatumia mbwa hawa pindi akitaka kumuadhibu mtumwa aliyekosea.
Mbwa hawa...
*SASA NIMEFAHAMU*
*MANENO YATOAYO MACHOZI*
"Mama anaongea na mwanawe na kumpa *Usia"*
Mwanangu mpenzi:
Kuna siku utanikuta uzee, sitafanya mambo yangu kwa akili;
Yakitokea hayo nakuomba...
Nina miaka 27, nipo dar, nina bachelor degree,ni muislam
Sifa za mwanamke ninayemuhitaji
Awe muislam
Awe na umri miaka 18-30
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na upendo wa kweli
Kwa...
Ni takribani miaka 23 imepita tangu nizaliwe, ila tangu niingie umri wa kujitambua sijawahi kuwa na mpenzi pasipo na sababu za msingi, hii inanipunguzia uwezo wa kujiamini hasa pale ninapowaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.