Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Maana herb clinic zimekuwa nyingi kitaaaa mpaka sielewi naskia wanatibu kabisa sio za kuongeza hapohapo kama viagra... Na kwann hii biashara imekuwa kubwa ivi
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Wakuu msaada: Nina girlfriend ambaye nimeishi naye takribani mwaka na nusu sasa. ila mpenzi wangu huyu kuna tabia moja ambayo siipendi, kwani kwa sasa wote tunaishi sehemu tofauti tofauti...
2 Reactions
62 Replies
10K Views
WANAUME jitahidini kidoogo kuwa Romantic lasivyo hali itakuwa mbaya kwenu..Ulivyokuwa unamtokea mdada wa watu ulimjali..kila saa message...Umeku la..twende lunch..I love you za kumwaga kama...
10 Reactions
71 Replies
9K Views
Ndio wametuzaa wanatujua kila tunalotaka kulifanya tusijiongopee eti tumewazidi kwa hizi elimu zetu za hapa duniani,wao ndio kila kitu wakiamua kutushusha wanaweza wakiamua kutupandisha wanaweza...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Na alaaniwe amdharauye baba yake au mama yake. Na watu wote waseme, Na iwe. Na alaaniwe ampotezaye kipofu akakosa njia. Na watu wote waseme, Na iwe. Na alaaniwe apotoaye hukumu ya mgeni, na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Update 4: Married for almost 2 years Update 3: We are officially engaged to be married. Glory be to God. Update 2: Nimepata rafiki hapa Jamii forum. Bahati nzuri anaishi mkoa ninaoishi mimi. So...
33 Reactions
347 Replies
23K Views
Hey mambo;!! Hivi mnakumbana na kero zipi kwenye ndoa? Je unapenda kulala kitanda kimoja kila siku na mmeo? Kwanini kusiwe na vitanda viwili chumbani ili kuna muda au siku nyingine kila mtu alale...
3 Reactions
179 Replies
17K Views
Habarini wa MMU mwaka umeisha sasa...kama ilivyo kawaida kila mtu mwaka huu kapitia changamoto mbalimbali...ingekuwa ni vyema sana kama kila mmoja wetu tungetumia thread hii....ku share changamoto...
8 Reactions
151 Replies
11K Views
Wenzako wanapokea mshahara Milion tatu kila mwezi na bado wako single, wewe unapokea mkopo wa chuo unatuambia unataka kuoa....!! Ulitakiwa upigwe KOFI la kichwa ku- restore settings...
17 Reactions
27 Replies
4K Views
Kumekua na mijadala mingi kuhusu hili suala na tena nimekua nikibisha sana kwamba ukioa mwanamke ambaye hukumtoa usichana wake hata weza kukusaliti kwa yule aliye mtoa usichana wake. Leo sina...
1 Reactions
58 Replies
10K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya Dada zetu hupenda sana chips mayai, chipsi kuku Imefikia wakati wako radhi kula chakula icho hata Mara tatu kwa siku na hata mwezi mzima. Hivi kuna...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Heri ya sikukuu Wakuu. Mimi ni kijana wa Miaka 24. Kuna tatizo nimekumbana nalo janaa. Nilipata kadem kadogo around 19y juzi. Nilikasomesha freshi kakanielewa. Nilikapeleka ndani tukaanza mambo...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Inatokea unapata mtoko na mpenzi mpya na baada ya kubadilishana anuani za mawasiliano zikiwemo zile za mtandaoni unapata tashwishwi ya kuingia katika ukurasa wake wa facebook. Lahaula, huko...
12 Reactions
75 Replies
24K Views
Nawakubali sana wale wenzetu wa upande wa pili kwa kua wanajua kujisitiri na kuficha toka nywele mpaka unyayoni hili linapunguza mwanaume usimtamani ovyo ovyo Mwanaume ni mtu anaesisimka haraka...
2 Reactions
80 Replies
27K Views
mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 23 nilikuwa nahitaji msichana wa miaka 18-24...
2 Reactions
4 Replies
966 Views
Nashukuru nimempata mtu nilie kua namuitaji
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Herini ya sikukuu ya kuzaliwa bwana wapendwa leo siku imeanza vibaya sana. nimeenda kanisani kurudi nyumbani hamna ata chai. cha ajabu nakuta huyu bi dada anaongea na simu huku akiomba atumie...
10 Reactions
90 Replies
9K Views
Sijui niite ni bahati au nuksi au malipo ni hapa hapa duniani au ni pepo la ngono nimekua katika wakati mgumu sana kabla sijaoa nilibahatika nikiwa na 20 years kupata mtoto nilipofikisha 25 nilioa...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
Waungwana habari,hivi sasa naandika uzi huu ni saa nane na dakika 16usiku.nina usingizi ila naogopa kulala kwani nahisi kuna mtu chumbani kwangu.kibaya zaidi nakaa nyumba nzima peke yangu,nimeenda...
8 Reactions
106 Replies
15K Views
Jaman Wana jf napenda Nifahamu tofauti ya mwanamke wa kichaga na kipare, Ni hayo tu!!!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom