Natafuta mwanamke wa kula nae bata

Capslock

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,089
4,810
Natumai kila mwana JF ni mzima wa afya......

Katika kipindi hiki tunapoelekea kumaliza mwaka naamini kila mtu amejawa na furaha ya kutosha kulingana na kiwango chake.....

Hali ni tofauti kabisa kwangu, kwani sina furaha kabisa yaani, na nimejaribu kujiuliza ni kwanini nimekuwa katika hali hii nimegundua ni sababu ya kukosa kampani..........

Sasa nimeamua kutafuta kampani kutoka kwa mwanamke yeyote atakae kuwa tayari ili tuweze kula bata wote

Mwanamke yeyote alie tayari kuniakampani aje PM.....

NB: asiwe mke wa mtu
 
ahsante Muanzisha thread hata mimi niko lonely mbaya?? ningepata Kampani tufungue mabox ya zawadi ingekuwa poa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom