Mimi ni msichana nina miaka 23,baba yangu ni mfanyabiashara maarufu sana na ni miongoni mwa matajiri wakubwa sana.mwaka wa jana mwezi wa kumi na mbili nilifiwa na dada yangu ambaye ni wa kwnza...
Kumbukumbuku zangu za kusoma vitabu vya dini zinaniambia wanaume walichangia sana mji ule kuharibiwa.
Imekuwaje kwa tabia zilezile zilizohuharibu mji ule dada zetu mzipende kwa kasi?
Habari zenu wanajamvi, poleni kwa pirika za hapa na pale za kuumalizia mwaka 2016; kama ilivyo kawaida katika maisha ya mwanadamu wapo wanaoumaliza kwa huzuni na wengine kwa furaha, mwisho wa siku...
Hellow wanajf nimewamiss sana hope mmesherehekea vema sikukuu ya xmas kwa wale mliosherekea mkiwa wagonjwa au mkiwa na matatizo mbalimbali polen sana,hayaa mwaka ndo huo unaishia vipi ulichopanga...
habari za xmass mandugu
nna tatzo moja linanisumbua sana, mimi ni kijana mwanaume knachonisumbua nakua na hamu sana ya kufanya mapenz yan siwez hata kukaa week 1 bila kufanya hyo ktu,,, kama...
Nisiwachoshe,
Ni miaka miwili toka nioe bint toka Tanga,nilijuana nae nikiwa Mwanza yeye yupo chuo fulani cha ualimu mm nikiwa kwenye shughuli zangu ktk NGO,S moja jijini hapo, alionesha ni mcha...
Wadau adjez???
Ivi haw Jamaa Na wimbo wao k walikaa wap Na walikua wanawaza nini?????
Kweli mjin uje Na akil tabia utaikuta uku uku kama k ya kweny wimbo wao
Uzee ni cheo cha heshima sana lkn kuna baadhi ya wazee wamejaa upuuzi kichwani mwao hawajui vichwa vyao ni fahari ya watoto wao na wajukuu wao!.
kichwa cha mzee kimepitia mengi,kujua mengi n.k lkn...
Nimekuwa kwenye mtandao wa Facebook yapata takribani wiki 7 sasa tangu nijiunge.
Hivi majuzi nilijikuta inbox [emoji395] nachati na msichana kutoka New Zealand. Muonekano wa Chat haukuwa na...
Habari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka...
Hellow JF
Baada ya kupost UZI sehemu ya kwanza
Kumuelewa mwanamke pita hapa,
Hii ni sehemu ya mwisho ,
Kwa wenye nia ya kujifunza hakika watajifunza mengi bila kupoteza muda songa nayo hapa...
Poleni na uchovu wa jana na juzi,
Yametokea malalmiko makubwa kutoka kwa akina dada kwamba mwanaume amemfatilia kwa muda mrefu lakini baada ya kummega tu hajarudi tena,ingawa kunaweza kukawa na...
Natafuta mke wa kuoa. Akipatikana ndoa haraka.
Awe msomi kuanzia degree.
Kipato kinachijitosheleza.
Awe na upendo.
Umri kuanzia miaka 29
Mkristu au awe tayari kujadili dini. I'm
Umri wangu nini...
Ni mara ya kwanza naandika Habari kuhusu familia yangu. Nimeishi na mke wangu takribani miaka mitatu Sasa cha ajabu naona tunaishi kwa kuvumiliana, zile feelings za upendo zimeisha na tatizo ni...
Maana herb clinic zimekuwa nyingi kitaaaa mpaka sielewi naskia wanatibu kabisa sio za kuongeza hapohapo kama viagra...
Na kwann hii biashara imekuwa kubwa ivi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.