Mwaka Ndio Unaishia ivyo

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
MWAKA MWINGINE NDIO HUO UNAKATIKA, BAADHI YA MARAFIKI ZAKO WAMEOLEWA...

WEWE ENDELEA KUSEMA, "ALL MEN ARE PLAYERS." - UTAOLEWA NA REFA BASI!
 
MWAKA MWINGINE NDIO HUO UNAKATIKA, BAADHI YA MARAFIKI ZAKO WAMEOLEWA...

WEWE ENDELEA KUSEMA, "ALL MEN ARE PLAYERS." - UTAOLEWA NA REFA BASI!

Mii nilidhani mwaka ukiisha unajifanyia evaluation ya malengo kama yametiki

Eidha umeongeza kiwanja cha low density walau . au umeongeza vyanzo vya mapato
Ili lyfe liende kumbe unatuchamba dada zako
Ok ngoja tuwasubiri Marefa au lines men poa tu
 
Back
Top Bottom