Ubuyu kwa ambao hawajaolewa tu

dekitambi

JF-Expert Member
Oct 5, 2015
663
761
Hellow wana JF,

Hii ni kwako wewe dada ambaye unatafuta mchumba (GENTLE MAN) mwenye KIPATO kinachoeleweka,

FANYA MAMBO YAFUATAYO ANGALAU MARA MOJA KWA WIKI;

PATA LUNCH AU DINNER RESTAURANT
Wanaume wasiokuwa na wake na wanaojituma na kazi (kazi zinazo eleweka) mara nyingi huwa busy sana hii hupelekea kuwa na uchovu mwingi hivyo basi pindi wanapo hisi njaa hupendelea zaodi kupata chakula RESTAURANT hii ni kutokana na uvivu wa kupika, huko kuna fursa dada zangu.

2.PENDA KUFANYA MAZOEZI KATIKA VITUO VYA GYM.
Huko utakutana nao mpaka wanaomiliki vyombo vya USAFIRI,
Wanaume wenye kazizao mara nyingi hupenda kufanyia MAZOEZI huko, hasa hasa siku za weekend.

ITAENDELEA...

MAONI, USHAURI NA MAPENDEKEZO RUKSA, PIA UNARUHUSIWA KUONGEZEA,

DEKITAMBI.
 
Ha haa ngoja nianze kufata huo ushauri hebu
Ukiufuata huo ushauri utageuka mbuzi aliefia kwa muuza supu, Gym hakuna waoaji kuna matozi kama mimi tu ndoa kwao haipo akilini. Tunaangalia shepu tunavua pichu na kusepa,;) Kuhusu kula nje nakumbuka mzee akigombana na bi mother huchukuliwa kwenda kula restaurants, kwahio wengi wao wana wenza wao ila hasira za siku moja huwapeleka huko. Laa kama unataka kufanywa Dessert salad hapo sawao_O:p
 
Basi nimeghairi
 
Mkuu mbona unatuharibia hvyo? Wengine tunaenda gym kwasabu hatutaki vitambi
 
Dah!kweli hakuna mteremko.
Ukitaka mwenye pesa upate adhabu kama hizo ili angalau uopoe tena hapo unaweza beba majanga ukajuta.
Acha nipambane na masikini wenzangu tunaofanana hali kama hiyo bahati itajitokeza poa ila sio ndo nifunge safari eti naenda kwaajili nipate mwenye kipato hell no.
 
Kwani hao wanaume wenye vipato kanisani hawaendi? Kwenye misiba je? Vipi sokoni hawaendi au daladala hawapandi hatakama wana usafiri?
 
Dah!kweli hakuna mteremko.
Ukitaka mwenye pesa upate adhabu kama hizo ili angalau uopoe tena hapo unaweza beba majanga ukajuta.
Acha nipambane na masikini wenzangu tunaofanana hali kama hiyo bahati itajitokeza poa ila sio ndo nifunge safari eti naenda kwaajili nipate mwenye kipato hell no.
kwahiyo dada Feity unatafuta mme wa kukusitiri?
 
Dah!kweli hakuna mteremko.
Ukitaka mwenye pesa upate adhabu kama hizo ili angalau uopoe tena hapo unaweza beba majanga ukajuta.
Acha nipambane na masikini wenzangu tunaofanana hali kama hiyo bahati itajitokeza poa ila sio ndo nifunge safari eti naenda kwaajili nipate mwenye kipato hell no.
Wenzio wanatafuta maji ya kuogea meli 2 ili kuondoa uchafu mwilini, wewe unaona hayo mahangaiko ya kwenda restaurant na gym tu. Eti bora urizike na hao maskini wenzio:confused: hivi hujawahi kusikia maskini jeuri?
 
Back
Top Bottom