Natafuta mwenza awe mke

Natafuta mwenza awe mke

katto14

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
226
Reaction score
62
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato.

Aliye tayari tuwasiliane pm
 
kama huna cha kuchangia bora ukae kimya km tangazo lipo mwaka mzima we halikuhusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom