Wakuu,naandika Uzi huu nikiwa na hasira Sana.Mama Chanja ananivuruga Sana aisee..
Kihere here cha moyo,maumivu napata Mie,sihusiki,na wala sina hati.Nasononeka mwenzenu..
Mama Chanja hana...
Nisaidien jamani Nina mpnz wangu, kila nikiumwa huwa ananifukuza, ila nikiwa mzima yuko karibu nami, nifanyeje? Nivumilie au niendelee nae atabadirika?
Hello wana JF,
Naomba niende moja kwa moja kwenye MADA kama inavyojieleza;
1. MWANAMKE MKOROFI
Hufanya kile unachomkataza na hufanya tena natena, mara nyingi huwa haidhiki hata umfanyie nini...
Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..
Hii tabia...
Habarini wakuu
nimekuja leo asubuhiasubuhi kuwapeni kisa kilichonikuta juzijuzi
Iko hivi.Kuna michana mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano ila sikuwahi kumtongoza, tulijikuta tunakuwa wapenzi...
Licha ya kuwa na changamoto nyingi, ujauzito ni hatua yenye faraja kubwa sana wanawake wengi. Kwani kila mmoja huwa na matumaini makubwa kwa kile alichokibeba tumboni.
Hakuna ubishi kuwa mama...
Habarini za sikukuu?
Mimi ni mwanaume wa Bara
Umri wangu 30 yrs
Ni mrefu mwembamba kiasi
Mweusi kidogo
Dini mkristo.
Elimu darasa la saba
Kazi yangu nimejiajiri na
Pia nimeajiri.
Nahitaji...
Habari za jioni wana JF,
Mwenzenu nina mtihaani ambao unanisumbua,
Kuna binti mmoja niliwahi kuwa na mahusiano naye na mwishoni siku akaolewa, kutokana na mimi kutokuwa na mwelekeo wa maisha...
MwanaJF,
Lips hutoa tafsiri ya muundo wa mashavu ya mwandani. Mdada mwenye kissable lips ana mwandani mwenye mashavu makubwa. mashavu ya mwandani yakiwa makubwa huhamasisha sana jogoo kusimama...
Hivi sasa katika jamii yetu kuna
kundi la wanawake ambao wana
watoto lakini hawajaolewa lakini
pia lipo kundi kubwa la wanawake
ambao wako kwenye ndoa au
mahusiano kwa muda mrefu lakini
hawana...
Mfano wewe ni Derevawa Bodaboda umepigiwa simu kumfuata mteja Gest na wewe ukaenda maana ndiyo kazi yako, sasa ile unafika tu! Unakuta Mteja ni Mkeo, akiwa na jamaa Mlangoni wanatoka ndani ya...
Bila shaka mko poa!
Kama ambavyo head inajieleza, unatumia muda kiasi gani ktk kuimarisha mahusiano yako na mwenzi wako?
Binafsi natumia muda wa jion na asbh at least kwa saa moja kufanya mambo...
Kama kuna mahala nchini Tanzania ambako ni ' Kiwanda ' Kikuu cha Mabinti na Wanawake kupiga ' Majungu ' na kuwasema Vijana na Wanaume basi ni pande za Mwenge katika vile ' Vibanda ' vya Ususi...
Si mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa katika jukwaa hili.
Natafuta rafiki wa kike anayejitambua, awe matured kiakili na kimwili! napenda mtu mkweli mcha Mungu wa kweli, mwenye elimu ya kidato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.