Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,058
- 5,318
Nimeamua nikiwa na akili timamu kabisa kwamba sasa napanga kwenda Rwanda kutafuta mtusi wa kuoa.
Kwa habari ya uzuri sina shaka kabisa na nina amini wadau mtaungana na mimi kwamba hawa watoto wa kitusi ni mwisho wa maneno, wapo wembamba waliojaliwa sura ya kuvutia, wapo waliojaliwa chura na sura nzuri, wengi wao ni warefu (Nawapenda sana wanawake warefu kuliko wafupi)
Hivyo basi nimejiandaa kwa ajili ya kuvuka border kuelekea Rwanda kuleta 'mzigo'. Wakuu najua humu ndani wapo wenye uzoefu na kuvuka border kwenda kuchuku jiko naombeni ushauri wenu ugumu na wepesi wa safari hii. Lakini pia humu wapo wanaowajua watusi vizuri nanyi karibuni mseme neno.....
Karibuni Wakuu