MBEYA: Kijana akimbia ndoa kanisa la KKKT

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
Kijana mmoja aitwae mwakabongo Leo ameonyesha kihoja pale alipokimbia ndoaa Kanisa LA KKKT usharika wa isanga

Akiongea kwahuzuni MCH WA KANISA HILO ANDAGILE MWAKAJUNGU AMESEMA KWAMARA YA KWANZA KUTOKEA HILI TATIZO KANISANI KWAKE

AKUISHIA HAPO AKASEMA HAJUI PEOLILILOMPATA KIJANA HUYU MAANA JANAWAMEKUJA NA MKEWE OFISINI KWAKE NAKUTHIBITISHA NDOA IPO... KABLA YAKUWAPA MAELEKEZO MENGINE

NDUGU WALIONEKANA KUCHANGANYIKIWA KABLA YA KUAMUA KUMPIGIA NAPALE ALIPOGOMA KUPOKEA WAKAONA MDA UNAENDA NAKUMWOMBA MCH AMBAE ALIPIGA MARAYA PILI IKAPOKELEWA NAKUMWOMBA RADHI NAKUMHAIDI KUMWONA AMWELEZE HALIHALISI.. MMMH

TUKIO ZIMA LILIKUA HIVI

WAMEFIKA WOTE KANISAN WAKATI WAKISUBIRIA KUINGIA NDANI BW HARUSI AKAZUNGUKA AKAELEKEA NYUMA YA KANISA KUMBE KUNA PIKPIK ASHAIITA. AKACHAPA LAPA...

NDIPOMDA UKATIMIA JAMAA AONEKANI APOKEI.... MCH AKATANGAZA MDA UMEKWISHA ATOWEZA FUNGA NDOA

MMH NAHISI JAMAA ALILETEWA MZIGO NASHANGAZI HAYA NDIO MATOKEO YAKE....
 

Attachments

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,645
2,000
Naona bw harusi kafikiria mbali sana. mojawapo kati ya haya:
>kwa ugumu huu wa maisha ataishije na mke?
>anajifungaje kwa mtu mmoja maisha yake yote wakati warembo kila siku wanazaliwa?
>ametishwa na wingi wa ndugu wa mke, akaona ni mzigo tarajiwa wa kuhudumia.
>alimuona ex wake kanisani kapendeza kuliko bi harusi
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
jumamosi moshi nako harusi imeshindikana kufungwa hivihivi shida ni nini?
Mnawaza lipiboraa akimbie sasaa ama ajekuikimbia banda yandoaaa... Tuwekane saw wanandoa

Kunasehemu nimekuta kabisawanaume wanasema waliondani yandoa wanatamani kutoka NA walionje awataki kuingiaa

Sass kamahuyu kijana kakutana nahii misemo ijumaaa lazima alekona
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom