I hope mpo salama,
Nahitaji ushauri kwa hili mimi ni kijana wa kikristo na ukoo wangu ni wa upande huo, lakini katika malengo yangu nimepanga kuoa au kupata mwanamke wa Kiarabu, Kihindi nikikosa...
Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.
Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na...
Habari ladies an gentleman,
Yap,
Nikiwa nafanya kazi kwa boss mmoja pale Boda, Pale nyumbani kulikuwa na ka house flani hivi... Basi bwana mi ndo nakatamani, nakamendea, ninaugwadu nako ile...
Wakuu wa Jukwaa La Malavedave;
Bila ya shaka wengi mmewahi kutuma au kupokea SMS za Mapenzi kuhusiana na subject mbalimbali katika mapenzi. Hata hivyo kuna zile ambazo zinafurahisha sana na pia...
Wanajamvi! Awali ya yote ningependa niwatakie heri ya krismass.
Mimi ninatatizwa na jambo moja, nalo ni kwamba nimetokea kumpenda binti mmoja hivi lakini wakati najaribu kufuatilia nyendo zake...
Wasalam
Mjini hapa pesa ndio kila kitu na kila mbuzi atakula kwa urefu ya kamba yake.... hii mada najua watu wengi itawatoa povu sana mjini hapa kwa siku ya leo ila naomba tu nieleweke
kizazi...
Jana nimefanikiwa kuona x ya kibongo ambayo wahusika wamerekodiwa bila kujijua inasemekana ktk lodge nyingi wametega kamera za ukutani na Mara nyingine watu wa chabo kufanya kazi hiyo.
Katika...
Wanawake wenzangu hii ni week end inaanza leo kuna hizi saloon za kiume ambazo zinawahudumia wanaume kwasehemu kubwa zimekuwa majanga
Mwanaume akishaa anza kushikwa anakubali kila kitu nasikikia...
Mwaka jana mwishoni hubby na watoto walienda likizo kijijini kama utaratibu wa kila mwaka, nyumbani tukabaki mimi na msichana wa kazi, sikupewa likizo kazini, siku moja msichana wa kazi alinifuma...
Jamani hiki kiitwacho wadudu wanaonyevuanyevua a.k.a ny-ge ni hatari na yanaweza kukudhalilisha yamenikuta mwenzenu.
Mi naishi Sinza nyumba ya tatu baada ya hotel ya vatcan city nimepanga kwa...
Hello jf,watu wengi huwa wanadai kwamba ni ngumu sana kumuacha mwanaume au mwanamke wako wa kwanza aliyekubikiri na hata mkiachana au akikuacha bado utamkumbuka tu na itakua ngumu kumsahau kwa...
Naomba tu kujua kuwa endapo utamfumania Mkeo ' anabanduliwa ' mubashara kabisa na ' Njemba ' utadhibiti vipi hasira zako kali ili usimdhuru? Nimelileta hili kwenu baada ya taarifa zangu za '...
Hivi kuna mwanaume anapenda kuchapiwa mkewe yaani mkewe akichapwa anajisikia raha, Ulaya wapo wanaitwa ''cuckold couples''.
Je, Africa wapo na kama hawapo utamaduni huu utaanza lini?
Mwanamke akikupenda, anapenda kweli na akikudanganya anakudanganya kwelikweli nje ndani. Mwanamke akikupenda, hata uwe dereva wa bodaboda yeye ataona amepanda hummer, atakukumbatia kwa mahaba...
Wakuu,
Nilimpenda sana msichana kipindi cha zamani, tukiwa form one. Dada akawa ananiletea mapozi kishenzi, tukapotezana baada ya kila mtu kwenda kusoma high level mikoa tofauti.
Tumekuja...
Habari wanajamvi,
Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti.
Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba...
Habari zenu wana jamvi, katika group letu Moja la WhatsApp nimekutana na hii mada iliyoniacha mdomo wazi.
Mwana group mmoja kaomba ushauri,kila wakiwa msambwandeni kwa Fundi seremala uwanja usio...
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu huko A Town, nikajikusaya mwenyewe nikaenda huko. Nimefika mtoto akawa hapatikai kwenye simu, halafu mtoto mwenyewe wa geti kali hatari sia uhakika hiyo courage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.