super mimi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 223
- 171
Ni takribani miaka 23 imepita tangu nizaliwe, ila tangu niingie umri wa kujitambua sijawahi kuwa na mpenzi pasipo na sababu za msingi, hii inanipunguzia uwezo wa kujiamini hasa pale ninapowaona vijana wenzangu wakiwa na wapenzi wao. Muda mwingine huwa najikaza na kutongoza wasichana ila nimekuwa nikiwapotezea muda tu baada ya kunikubalia.
Sijui nina tatizo gani wadau.
Msaada wako unahitajika ili niweze kufungua mwaka na jarida mpyaa.
Sijui nina tatizo gani wadau.
Msaada wako unahitajika ili niweze kufungua mwaka na jarida mpyaa.