Hii kitu sasa hivi imeshika kasi sana.
Wadada wengi sasa hivi wanachangamkia dawa wao wanaita ni ya kurudisha heshima. Ni dawa za kurudisha uke na kuufanya uwe mdogo mtindo wa bikra. Zamani...
Marhaban bial'asdiqa'.
Natumai nyote mu buheri wa afya Jumapili ya leo.
Hivi jamani, eti kwa mama mzazi wa kijana kumwuliza mpenzi wa kike wa huyo kijana wake kuhusu uwezo wake [kijana] wa...
Habarini Wadau,
Kuna hali ya kutokujali na kutojielewa kwa baadhi ya wanaume kuwalinganisha mama zao na vitu / watu wengine.
Imagine Mwanamke anakuambia, "Mwanaume gani unamsikiliza mama yako...
Binafsi niseme na kuanza kumshukuru Mungu kwa mke nilie nae mke bora na mama wa watoto wangu chipunga, helo na chipoku ukweli siku ya kwanza kumuona aliuchanganya sana moyo wangu mpaka kiasi...
Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in...
Jana katika kupiga stori mbili tatu na washkaji mtaani,akaja jamaa mmoja hivi akawa analalamikia hali ngumu ya maisha hivi sasa,alkasema mfano kipindi hiki mademu wapenda offer wanakunywa sana...
Kwa wale wa nyimbo za taratibu na romantic tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii...
Wana JF naomba tuchangie mada hii. Nimeianzisha kwa makusudi kwani ndoa nyingi za siku hizi zinakosa vichocheo muhimu, wanandoa wanachokana mapema mno, imethibitika kuwa mahusiano ya wakati wa...
Wenye kuzungumza usingizini huwa kawaida hawasemi yenye kueleweka. Lakini wakati mwengine wanaweza wakasema mambo ambavyo yanachekesha sana.
Kipindi namtembelea binamu yangu huko kona za jijini...
Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
Nina miaka 30,ila sijihisi wala kuishi umri huo!
Na kila ninapoamka au kulala i feel am 20yrs old!
Kuna watu wana hali kama yangu!?
Umbo ni dogo,na inapotokea nikaulizwa umri,nikataja 30,wengi...
Nimebahatika kuoa mke tukabahatika kupata watoto wawili mapacha wa kike na wakiume tunamiaka 10 ndani ya ndoa tatizo linalonisibu niliyumba katika biashara zangu kwakua Mimi nidalali wakuuza...
Kuna mademu juzi wamehamia hapa karibu na
nyumbani wazuri vibaya mno nilivyowaona tu
nikasema lazima nimtongoze mmoja
Leo nimetoka zangu kanisani sijaamini macho
yangu nimewakuta wale mademu...
Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs?
Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu...
Kuna wakati hutokea wanawake wakateswa sana kwenye uhusiano wao wa kindoa au kimapenzi na bado wakaendelea kukaa tu kwenye uhusiano huo. Inafikia hadi mtu anakufa huku akiona kabisa. Watu wengine...
Habarini!
Juzi nilikuwa niko na mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita. Katika kupiga stori nikawa namuonya juu ya jambo fulani.du mwanamke saa ngapi asianze kkumbushia eti...
Imekuwa ni kero kwa hawa dada zetu siku hizi.wamekuwa kama maombaomba wa kutegemea pesa kwa wanaume.haijulikani yupi muuzaji na yupi si muuzaji,wote wanapenda hela na si mapenzi ya...
Hello,
First of all, I'm yet 2 be successful (according to my standards). My story IPO hivi
Sahiv nasoma chuo abroad (nje ya Africa), lakini kabla ya hapa nlikuwa na soma chuo bongo, chuoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.