mohamedi-2
Member
- Feb 15, 2015
- 72
- 92
Nimebahatika kuoa mke tukabahatika kupata watoto wawili mapacha wa kike na wakiume tunamiaka 10 ndani ya ndoa tatizo linalonisibu niliyumba katika biashara zangu kwakua Mimi nidalali wakuuza magari nilipoona biashara haziendi ikanibidi niende kwamganga kwakua biashara zetu maranyingi tunatunia ndumba
Nilipokwenda mganga kaangalia kwenye darubini yakee akaniambia tatizo lipo kwamkewangu Mke Wangu anajini mbaya ananizuilia biashara zangu akanitengenezea Dawa akanipa nikatumie namkewangu nilipofika nyumbani nikamueleza yote Mke alikataa kutumia zile Dawa nilipo mbana sana akaniambia jini analo ila nilakumsaidia yeye sio lakunidhuru Mimi .
Baada yahapo nilikaa kama miezi 3 nikaona hakuna mabadiluko nikaenda kwamganga mwengine nae akaniambia vilevile kua Mke ndio tatizo nikimwambia Mke Wangu twendekwamganga hataki mpaka sasa nimesha kwenda kwa waganga5 wote wanasema mkewangu ndio tatizo naombeni ushauri wenu je nimuache nioe mwengine au nifanye nini.