Mawasiliano katika mapenzi

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Jamani hivi ni sahihi kwa wapenzi tena washazaa hadi watoto kukaa kutwa nzima hadi siku 2 bila kuwasiliana!??
 
kama wanaish pamoja inaezekana kwa kiasi flani

ila kama hawaish pamoja sio sahihi
 
Mawasiliano ni kwenye mambo ya msingi tu.
Yale ya 'leo baby umekula nini' sijui umevaaje hayana nafasi.
Tumia huo muda kuwaza jinsi ya kuweka chakula mezani.
 
Back
Top Bottom