Seriously kwa aliye tayari ani pm.
Natafuta mchumba, sifa ni kama zifuatazo;
. Awe binti asiyezidi miaka 28
. Mrefu kiasi
. Mwembamba si lazima sana ili hata akija nenepa asiwe tinginya
. Elimu...
Niliingia Katika uhusiano na Msichana Mmoja nikafanikiwa kufanya nae mapenzi sasa cha ajabu kila nikiwa nachati naye nikawa namwambia amsalimie mdogo wake akawa ana mind ooh inaonekana unampenda...
Wadau kuna nyimbo naipenda, ni zilipendwa na inapigwa sana kwenye live band. Wanaiita AFRO. Sina hakika kama ndio jina au la. Naomba kujua imepigwa na nani na mwenye nayo naomba aniwekee...
Wazazi wangu hawataki nioe mchagaa wakati ndo nampenda,wanataka nioe tofauti na mchagaa (mmarangu)wakati nampenda sana huyu msichana kwani anasifa zote za kuwa mke.Na ukizingatia umri wangu wa...
Bwanaharusi Samwel Makalobo akivishwa pete ya ndoa na Mke wake Given Mgaya katika Kanisa la K.K.K.T Usharika wa Isanga jijini Mbeya. Picha na Keneth Ngelesi .
HATIMAYE lile tukio lililovuta hisia...
Siku moja nilienda kung'oa jino kwenye hospitali moja hapa town kwetu,kwa bahati kumbe anayehusika na shughuli hiyo ni dada mmoja wa kichina nikapewa huduma nakuondoka,baada ya shughuli ile...
Nina rafiki yangu niliwahi kukaa nae hapa kwangu sasa alishahama muda tu sasa ana goma lake limeshakujaga hapa maqa kadhaa.
Sasa muda si mrefu kaja kama amelewa ivi na mvua inanyesha kaja kalowa...
Haiwezekani Watot wazur Kama hawa Afrika hamna watu wa kuwatafuna kisawasawa..
Tumefail mengi lakini hili Jamani Wanaume Waafrika tunaliweza jamani
Hili halihitaji technolojia..
Ni kurudi kwenye...
Matumaini yangu mko pouwaaa, na maandalizi ya sikukuu zilizo mbele yetu.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 27, Elimu diploma.
Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa.
Ni Mkristo RC
Natafuta mpenzi...
UTAFITI: Mwanamke Huota Tofauti Na Mwanaume
Wanasema mwanamke na mwanaume ni tofauti kwenye baadhi ya mambo, kimaumbile. Lakini, sio yale mambo yenye kuonekana peke yake, kwani imebainika sasa ni...
Habarini wanaMMU,
Nimependa kuShare nanyi maisha ya wanachuo walio wengi ambayo ni uzinzi,ulevi bila kusahau Disco usiku kucha.
Ni hatari sana maisha hayo.
Kama ulipitia maisha hayo tupe...
Nina maisha yangu fresh..niko lonely..umri 39...ninayemtafuta awe na maisha yake fresh,anajielewa na ana shepu"kafungashia"..ukiwa serious ni pm..ni kuliwazana tu sio kulizana p'se...
Habar wana MMU
Jana kuna kamanzi nilikatupia maneno ya moyoni kuwa nakapenda sasa kila nikiweka kanaruka viunzi eti kanadai kuwa kako na mtu tayari. Swali linakuja, hivi nikionana nako naweza...
Hi!to All.
Eti wadau kwanini kufanya mapenzi au kuchumu kati ya wapenzi wawili ndio huchuliwa kawa namna ya kuagana???
Kuna umuhimu gani kufanya hivyo???
"mapenzi upofu kweli!!!"
Nilikua nasoma primary kuna kijana alikua akinisumbua sana kunitaka kimapenzi ,tulikua tunasoma darasa moja na mkondo mmoja,,alikua akinisumbua ananiandika kwenye majina ya wapiga kelele hata kama...
JE bado niamini kuwa ananipenda
Ukirejea uzi huu wa Juu nimeamua kuachana na Mchumba wangu rasmi ila nimejifunza Yafuatayo
1:Usiamini chozi la Mwanamke -kwa hata mimi alinililia nikajiona napendwa...
Habari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona...
Jana mida ya saa nane nikiwa maeneo ya Sinza kwa Meeda, nilipiga bia zangu kadhaa, pembeni nikamuona binti mrembo, nikabonga naye akaonekana katokea nje ya Dar na ni mgeni, nikakubaliana naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.