Wa dada na dawa ya kurudisha heshima

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,958
4,387
Hii kitu sasa hivi imeshika kasi sana.

Wadada wengi sasa hivi wanachangamkia dawa wao wanaita ni ya kurudisha heshima. Ni dawa za kurudisha uke na kuufanya uwe mdogo mtindo wa bikra. Zamani tulizoea kusikia dada anakamulia ndimu au limao lakini siku hizi tofauti kabisa.

Jana nilikuwa nimepozi na jamaa angu najua anafanya biashara ya vipodozi nilikuwa sijui kama anauza na dawa za kurudisha heshima, alikuwa anaongea na dada mmoja kuhusu dawa za kurudisha heshima mm nilikuwa sijawaelewa baadae nikapewa shule na jamaa akanambia sasa hivi anapiga sana dili hizo dawa zipo katika mfumo wa sabuni wao wanaita shabu dada akisafishia uke basi unarudi katika hali ya ubikra akikutana na mwanaume huyo mwanaume anakuta mnato na jamaa anaweza fika bei kabisa ya kuweka ndani awe anapika na kupakua.

Madhara ya hii dawa ya kurudisha heshima.

Kama mjuavyo hakuna kitu kizuri kisicho kuwa na madhara. Madhara ya hizi dawa za kurudisha heshima ni kubwa kuliko faida ya kumburudisha mwanaume, mdada akisha anza kutumia basi uke wake unakuwa na maji maji mengi sana yule dada aliye kuwa analonga na jamaa angu alisema anashuhudia wadada wengine wanalazimika kuvaa pedi kutokana na maji maji kutoka ukeni.

Pili utamu wa uke unapungua unakuwa katika hali isiyokuwa ya kawaida kutokana na kuwa na maji maji mengi mfano mdada akionana na mwanaume kwa siku ya kwanza huyo mwanaume anaweza hisi umetoka kufanywa ndo ukaenda kwake kutokana na uke kulegea.

Katika hali hiyo inamfanya mdada aendelee kutumia hizo sabuni kurudisha uke katika hali ya mnato.

Sishauri wa dada mtumie dawa ya kurudisha heshima wengi wanaachika kimya kimya baada ya mwanaume kuona uke hauna mvuto upo ndembe ndembe.

Nawakilisha.
 

Kaka Sam

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
540
77
kwahiyo watu wataendelea kuuziwa mbuzi kwenye gunia tu, ukimuona unaona mbuzi kweli siku ya kuchinja unagundua ni jibwa na ushanunua haha haa inabidi ujifanye mhehe ujilie jibwa lako wakikuuliza unawaambia mbuzi wa kichina teheeeee
 

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,091
4,220
Hii thread itahamishiwa jukwaa la wakubwa hivi punde.

Fidel bana.....................

Unayajua sana haya mambo ya manzese darajani mimi simo
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
16,136
26,328
Poleni,
kule kwetu ukiolewa ukakutwa bikra unarudishwa kwenu, tena unapandishwa Punda kila mtu anajua yalokusibu!
Coz huna experience ya kutoa huduma
 

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
348
kha! Sasa wachina watatuaribia raza za kila kitu mana dah! Yan hata uke unatengenezwa kwel kaz ipo
 

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,219
17,980
Fidel sio mpya tofauti ni kwamba siku hizi haya mambo yapo hadharani hali zamani ilikua mwenye uwezo wa kusikia hilo ni Mwanamke tu! tena aloolewa au kachezeshwa unyago (thou sio zoote)
 

furahi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
945
189
Hii kitu sasa hivi imeshika kasi sana.
Wadada wengi sasa hivi wanachangamkia dawa wao wanaita ni ya kurudisha heshima.
Ni dawa za kurudisha uke na kuufanya uwe mdogo mtindo wa bikra.
Zamani tulizoea kusikia dada anakamulia ndimu au limao lakini siku hizi tofauti kabisa.
Jana nilikuwa nimepozi na jamaa angu najua anafanya biashara ya vipodozi nilikuwa sijui kama anauza na dawa za kurudisha heshima, alikuwa anaongea na dada mmoja kuhusu dawa za kurudisha heshima mm nilikuwa sijawaelewa baadae nikapewa shule na jamaa akanambia sasa hivi anapiga sana dili hizo dawa zipo katika mfumo wa sabuni wao wanaita shabu dada akisafishia uke basi unarudi katika hali ya ubikra akikutana na mwanaume huyo mwanaume anakuta mnato na jamaa anaweza fika bei kabisa ya kuweka ndani awe anapika na kupakua.
Hiyo shabu naifahamu ni jiwe fulani lililosagwa na hutumika sana maeneo ya pwani kusafisha maji ya visima. ukiweka kwenye maji machafu yanatuwama vizuri sana. pia hutumika kutoa weusi kwenye kwapa. It has a verry irritating chemical ukiweka kwenye ngozi. now u can immagine ikiingia ukeni inakuwaje. Wanawake tunahangaika sana na hii miili bila kujua madhara ya baadaye ya vitu tunavyotumia. Ni kweli unapoweka hii kitu inakuwa kama inayeyusha utelezi ulio katika kuta za uzazi thats why mwanamke anakuwa anavuja sana. Baada ya hapo ni kuharibikiwa tu na viungo vyako vya uzazi alivyokupa Mungu.
 

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,793
2,053
Dah hii kali jamani.
Unaona kitu kimebana kumbe imefanyiwa modification lol
 

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
5,613
Sijaona umuhimu wa kurudisha bikra kiasi cha kufikia kuhangaika hivyo! Kama kutoka ndo ishatoka sasa nashangaa watu kujitakia matatizo kiasi cha kugeuka chemichemi!! Simkatazi mtu ila kama matokeo yenyewe ndo hayo, nawapa pole kwakweli! Anwayz, wao watumiaji ndo wanajua faida waipatayo!
 

Natalie

Senior Member
Sep 25, 2011
165
27
Poleni,
kule kwetu ukiolewa ukakutwa bikra unarudishwa kwenu, tena unapandishwa Punda kila mtu anajua yalokusibu!
Coz huna experience ya kutoa huduma

Eeh, wapi huko!, si ujuzi mwenyewe amfundishe mkewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

5 Reactions
Reply
Top Bottom