Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mpaka miaka ya hivi karibuni mambo ya uchumba yalikuwa hayawezi kufanyika bila ya kuwepo wazazi na familia. Mitoko mingi na kualikana ilifanyika majumbani wakiwapo wanafamilia wote. Kujitokeza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Asikuambie mtu presha ya mwanaume yoyote ipo pale anapojua kuna mbaya wake anataka kufaidi ile raha anayoipata yeye naumia kila niwapo faragha na mpenzi wangu nikiwaza vitu hadimu anavyonipa bila...
1 Reactions
75 Replies
13K Views
LEO HAPA BHANA HAKUNA NINA'EMCHANA, LAKINI KUNA KITU NIMEFIKIRIA SANA- KWA KUWA NI CHA MAANA LAZIMA NISHEE NA WANA, MAANA'KE NIMEFIKIRI KWA KINA NA MAPANA- KUNA WATU WENGI SANA WENYE MITINDO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
" Nilisia hapo kale ilinenwa usizini lakini mimi nawaambieni yeyote atakaye mtazama mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini naye rohoni." Upo kitaa mtoto mkali akikatiza huku nyuma ataacha majanga...
1 Reactions
1 Replies
956 Views
asalamu wana jf .. kuna shekh wangu huwa anapenda sana kuniomba ushauri juzi tulikuwa tunapiga story akaniambia"" mgosi unajua mm nina matatizo yaan msichana au mwanamke akiniita kwa jina...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kuna vitu nilinotice kwa mke wangu tangia wachumba,nikajua nitamsaidia mpaka abidilike,mmojawapo ni MTU wa kukaa na vitu moyoni sana,siyo mwongeaji kwa mfano kuna kipindi niliropoka kuwa baba mkwe...
8 Reactions
131 Replies
13K Views
Naandika mkasa huu nikiwa na huzuni nyingi. Kitu kilichonitokea mwenzenu katika kipindi cha miezi minane iliyopita, nisingependa kimtokee hata adui yangu mkubwa kuliko wote. Huenda kwa baadhi...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Siku yangu leo haikuwa nzuri hata kidogo. Nimeshinda tu nakumbumbuka nyuma nilikotoka, nikajikuta naangua machozi siku nzima. Miaka 15 sasa tangu nibaki mwemyewe na ndugu, hakuna mama wala baba...
30 Reactions
50 Replies
5K Views
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, Unaweza kuta mtu amekupenda sana afu wewe unakuwa huna time naye,,, pia sometimes unaweza kuta umependwa sana na mtu afu wewe hujali hilo, Vip ikitokea...
1 Reactions
21 Replies
11K Views
Eti kweli wanaume wnye white hair wako mature halafu wana akili kulko wanauame wasiokua na white hair hata kama akiwa mdogo?
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Sikukuu hii nilienda mkoa mmoja wa pembezoni. Hotel niliyofikia INA ukumbi mkubwa, wakaandaa disco Toto. Watoto wa kike na wa kiume age kati ya 12 years hadi 18 wanakunywa soda wanachanganya na...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakati nawaza kuoa na kutafakari maisha ya ndoa niliomba ushauri kwa watu mbali mbali ili kupata ABC za ndoa ila nilipata jibu moja tu kutoka kwa MZEE mmoja WA makamo. Aliniambia oa kwa sababu...
15 Reactions
67 Replies
6K Views
***ENDELEA KUSONGA MBELE*** Kobe, Kinyonga, Panya, Sungura, Chura na Jongoo wanatembea na wote hufika wanakokwenda ingawa kila mmoja wao ana kasi yake mwenyewe. Kasi ya mtu mwingine isikutishe...
2 Reactions
0 Replies
807 Views
I love that God called women "keeper of the homes." This isn't limited to house cleaning, cooking & organization of the kids! Being a keeper of the home also means that you protect your home from...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jamii Kama nilivyoahidi kuleta mrejesho katika suala la kuomba msaada wa mawazo na ushauri juu ya kadhia ya kifamilia iliyonikuta Katika ushauri nilioupata na nikaona ni vema...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari zenu wajameni, Nimekuja kwenu kuleta kisa kilichonikumba leo, asubuhi nachomoka zangu mtaani nakutana na totoz ananyoosha mkono anataka lift, nasimama habari ya saizi kaka, salama mamboz...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Gharama ya pete ya ndoa au uchumba ni kipimo cha upendo wa mwanaume kwa mpenzi wake? Nini maoni yako katika hili? ============ When Ariel McRae and husband-to-be Quinn went shopping for...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu. Mimi ni kijana, nina kazi nzuri tu inayoniingizia kipato cha kutosha.. Nina mpnz wangu ambae tulianza mahusiano nae mwezi March mwaka huu. Nilipanga yeye ndo aje kuwa mke wangu siku...
0 Reactions
91 Replies
9K Views
Nina mpenzi ni mwanachuo nimekuwa name uhusiano nae mwezi mmoja tumeanza mahusiano alipotoka chuo kuja likizo yeye anasoma mzumbe Mimi ni mfanyakazi , nimekuwa nikimsaidia matumizi madogo madogo...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
1. Mdomo mdogo na vidole vifupi- una shimo domo na ni fupi (kibamia chakutosha) 2. Mdomo mkubwa na lips kubwa- shimo ni pana na nene 3. Macho kama ya bambo (yameingia ndani)- shimo refu 4. Eyelid...
3 Reactions
41 Replies
14K Views
Back
Top Bottom