Boyfriend anayekaa kwao anaboa sana

uajekundu

JF-Expert Member
Jan 14, 2016
541
461
Habari zenu,
jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..

hivi mtoto Wa kiume miaka 29 kukaa hom ni sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako?

Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
 
Habari zenu, eti jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in mpaka gesti ma nisivopenda kuingia gesti no sheeda..hivi motto Wa kiume miaka 29 kukaa hom no sawa, mi naona inadumaza akili especily MTU ana kazi nzuri tangu 2012...nikimwambia so uhame ukae kwako? Anajibu eti hawezi kukaa nyumba ya kupanga ni wastage ya money bora ajenge so ana make ela ajenge....ila inaboaa...maisha ya kupelelana gesti kama changudoa , mmmhh
Njoo mim nakaa kwangu....
 
Boyfriend sio mume wako mkuu elewa!
 
It sounds like he is not that much in to you, he is not ready for any commitment, kama angekuwa ana future na wewe angekushirikisha ujenzi. Kuna mmoja mwanaume alimwambia haoi mpaka apate Masters, yule dada kuona namba haisomeki amejisogeza pembeni, miezi sita baadae anasikia harusi.
 
mbanie papuchino yako.. au mwambie muwe mnakaa hoteli zenye hadhi ... we binti ni dhambi kuzini ila we umepewa bonus unapelekwa kwa wazazi unalalamika wengine wanakutanguliza gesti halafu yeye anakuja badae na wakati wa kuondoka anakutanguliza yeye anatoka badae... mshukuru Mungu
 
It sounds he is no much in to you, he is not ready for any commitment, kama angekuwa ana future na wewe angekushirikisha ujenzi. Kuna mmoja mwanaume alimwambia haoi mpaka apate Masters, yule dada kuona namba haisomeki amejisogeza pembeni, miezi sita baadae anasidia harusi.
Word
 
mbanie papuchino yako.. au mwambie muwe mnakaa hoteli zenye hadhi ... we binti ni dhambi kuzini ila we umepewa bonus unapelekwa kwa wazazi unalalamika wengine wanakutanguliza gesti halafu yeye anakuja badae na wakati wa kuondoka anakutanguliza yeye anatoka badae... mshukuru Mungu
Wameoa so wanaweka tahadhali
 
mwenye kwake ni Kobe tuu, anyway huwezi jua tabia za hiyo family yao

*kama hujawahi fanyiwa surprising ya nyumba ndo usubiri kutoka kwa huyo jamaa yako, mambo mengine unakaa chini unambembeleza jamaa yako unajibebisha atakwambia kila kituu haaaa we umekazania nyumba hana anaishi kwa mama , mtoto kwa mama hakui na hasa akiwa mmoja*
 
Back
Top Bottom