Nina miaka 30,ila sijihisi wala kuishi umri huo!
Na kila ninapoamka au kulala i feel am 20yrs old!
Kuna watu wana hali kama yangu!?
Umbo ni dogo,na inapotokea nikaulizwa umri,nikataja 30,wengi hawaamini!
Hii ni hali ya kawaida?
Wakati unakua itakua wazazi wako walikulisha chakula aina ya ngano sana,watoto waliokulia hivo vyakula hawazeeki mapema,miili yao ni migumu hawafutuki hovyo
Wakati unakua itakua wazazi wako walikulisha chakula aina ya ngano sana,watoto waliokulia hivo vyakula hawazeeki mapema,miili yao ni migumu hawafutuki hovyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.