Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,528
- 6,085
Jana katika kupiga stori mbili tatu na washkaji mtaani,akaja jamaa mmoja hivi akawa analalamikia hali ngumu ya maisha hivi sasa,alkasema mfano kipindi hiki mademu wapenda offer wanakunywa sana mikojo,ikabidi nitahamaki na nikauliza mikojo kivipi? jamaaa akasema naw demu unamnunulia bia moja tuu akijichanganya unaongeza ni visoda viwili vya mkojo analewa fasta hata hiyo moja hamalizi, nikastaajabu sana kumbe hizi offer dadaz mnalewa na vingi