Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu wana jf ninajitokeza kwenu nikiwa nafahamu mchango wenu wa mawazo.Leo hii nakuna na tatizo la kiafya,tatizo langu ni kuhusu kufika kileleni mapema ninapokutana na mwanake.Kiufupi hali...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu kapata zali la mentali kiaina,. Yaan kuna jimama la maana limemkubali dogo sema jamaa yang ana wenge na uoga kibao coz jimama linataka dogo alibebeshe mimba ila kupima linagoma...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
KAMA KUNA NDOA NAZIHESHIMU N NDOA ZA ZINAZOKWENDA KUFUNGWA KESHO NDOA HIZI AIJALISHI NANI KAKOMAA SIINGI 2017 MPAKA NIOLEWE NACHOJUA MUNGU AKUPENDA MUONGIE 2017 MKIWA SINGLE... (HIINIKITHUNGUTU)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau.. Wanawake wengi wanapokuwa wajawazito huwa na maudhi mengi, wakati mwingine huongea maneno yakukera na kukatisha tamaa ilimradi tu usumbufu.. Je kwa waliopitia maisha na mke...
0 Reactions
206 Replies
17K Views
Jamani kuna binti nlikua natoka nae sasa wivu umemzidi nkaamua kukutengana nae cha ajabu kanianzishia bifu daily ananitukana hivi nikienda kumshtaki police ntakua nimekosea!??
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Yani kuna binti ananipenda sana na yuko tayari kufanya lolote lile coz of me but me hata simpendi kabisa cha kushangaza na mimi binti anaenidrive crazy hamfikii uzuri huyu nisiempenda kwa kweli...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakati nasoma Stashahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani nisaidieni eti mwenzenu mwanamke ninayetarajia kumwita mke wangu kanitumia hii akiwa serious, what does it mean!!?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa muda sasa nimekuwa mfuatiliaji wa mada za jukwaa hili la MMU. Ni jukwaa la nne baada ya jukwaa la siasa, habari mchanganyiko na dini & imani. Nawasalimu wote humu na kuwapongeza kwa kutoa...
9 Reactions
52 Replies
7K Views
Muda mwingi huwa nafikiria sana na kujiuliza kwa nini mapenzi, nikiwaangalia wenye pesa wanaumia sana, na wasio kuwa nazo wanaumia sana.Bado najiuliza nin tatizo katika hilo. NAPATA PICHA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wana JF wenzangu, ni kitambo kidogo kimepita yapata miezi 6 nikiwa mbali kabisa na ukurasa huu adhimu kabisa wa makutano. Kwa kweli niliwa(miss) sana sana. Ningependa sana kuwaeleza...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanaume bhana sijui huwa wanatuchukuliaje wakati mwingine. Leo wakati natoka hospital nimetangulia mbele Shemeji yenu nimemuacha nyuma ghafra Ex wangu mmoja hivi mbele yangu. Kuniona katoa...
22 Reactions
89 Replies
7K Views
Ufanyeje ukiikuta meseji hii kwenye sent items za simu ya mkeo? Amemwandikia mdogo wako, baba mmoja mama mbalimbali. Umekuwa ukimsomesha mdogo wako huyo tangu akiwa sekondari na sasa yuko mwaka...
3 Reactions
65 Replies
8K Views
Sipendi kujichanganya na watu, sipendi mkusanyiko wa watu, na-enjoy nikiwa alone kuliko kukiwa na watu around. Nina bestfriend mmoja tu na ni ngumu sana kwa mimi ku-make new friends. Nikiwa na...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni safari ya Instanbul to Stockholm(?)...Mwanadada akapatwa na uchungu ndani ya ndege,bahati nzuri kukawa na nesi na mkalimani mmoja ambeya alisaidia mwanamke huyu kujifungua salama akiwa juu...
8 Reactions
29 Replies
5K Views
"USIMVUE NGUO MUME WAKO" Wakati anafungua zawadi kutoka kwa watu mbalimbali Jane alishika Box kubwa na kuanza kulifungua kwa pupa kwani alikuwa akikumbuka kuwa alipewa na Mama yake siku ya harusi...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi kwa jina naitwa John ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Ninaishi na mke wangu wa ndoa ,na tumejaliwa tumepata watoto wawili, Siku ya Christmas baada ya chakula cha mchana aliniaga...
1 Reactions
142 Replies
11K Views
Mashaka(si jina lake kamili) alivuta kiti pembeni yangu.ilikuwa ni jioni baada ya kutoka kazini tumekaa baa flan maeneo ya sinza. Mchana alinipigia simu nikiwa ofisini na kuniuliza kama ningeweza...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa anayejua Limbwata bora naomba anisaidie tafadhali nahitaj kumuwekea mke wangu anipende mimi tu. Sitaki kusikia limbwata la mwanaume kwa mwanamke ni hela!! nataka kali kuliko hela kama lipo.
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Back
Top Bottom