Msidanganyike, mama zenu ni zaidi ya wake zenu

Msidanganyike, mama zenu ni zaidi ya wake zenu

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,848
Habarini Wadau,

Kuna hali ya kutokujali na kutojielewa kwa baadhi ya wanaume kuwalinganisha mama zao na vitu / watu wengine.

Imagine Mwanamke anakuambia, "Mwanaume gani unamsikiliza mama yako, kwani unamuoa yeye?"

Mfano: Mama yako anaweza kukuambia usimuoe binti flani au mahali flani kwa sababu hizi na hizi. Anakuja binti mliyekutana ukubwani anakuambia, "Achana na ushauri wa mama yako kwani wewe si mtu mzima?"

Mtu mzima kuliko mzazi wangu? Unataka nibebe nuksi, mikosi na balaa za kwenu?

Mama yako hatokuchoka hata uugue, ulazwe kitandani na unuke ila mke/ mpenzi anaweza kukuchoka na kukukinai akaenda kwa dume mwingine.

Inashangaza bila limbwata mtu anamtamkia mwanamke "Nakupenda kuliko mama yangu!!"
 
Kwanza huyo anaemambia mwanamke hivyo anamdanganya ili apate anachotaka,na niukweli usio fichika kua Mama ana nafasi yake kwenye moyo wa mtoto mtoto wake na mke /mpenzi ana nafasi yake,Mama atabakia kua mama no matter what.
 
Kabisa kabisa !!!!

Mama anakuwa nawewe miez 9 tumboni huku hujitambui at all....mpk unakuwa,unapata Akili na Nguvu na kuitwa "Mwanaume"

Then unakuja kukutana na Binti usiyemjua anakuambia achana na habari ya mama yako

Hiyo kama si LAANA (kama ipo) ni nini?
 
Lazima tujue Jinsi ya kutofautisha Mapenzi.
Mapenzi ya Mama na Mtoto, yasifananishwe na yale ya Mume na Mke.
Hayo ndio matatizo ya kuingia kwenye ndoa bila kutambua

  • MISINGI ya ndoa ikoje
  • SABABU za msingi za kuoa (wengi huingia kwa shinikizo fulani)
Hapo ndipo tunapoangukia kwenye Mke ambaye sie wako. Yaani mke asiyethamini ndugu na jamaa zako mbaya zaidi anapokosa upendo hata kwa wazazi wako.
(mara nyingi wake wa na namna hii, huwa hawana UPENDO kabisa, hata kwa ndugu zao pia, huwa ni wabinafsi sana)

Mkuu..! Mke wa namna hii hata wewe pia hakupendi, yupo kwako kwa maslahi binafsi,
KEEP YOUR EYES OPEN MY BRO!
 
Nakubaliana na maneno yako mkuu.
 
Hahahahaha! Na mimi pia sidanganyiki baba yangu ni zaidi ya mume wangu.
 
Kabisa kabisa !!!!

Mama anakuwa nawewe miez 9 tumboni huku hujitambui at all....mpk unakuwa,unapata Akili na Nguvu na kuitwa "Mwanaume"

Then unakuja kukutana na Binti usiyemjua anakuambia achana na habari ya mama yako

Hiyo kama si LAANA (kama ipo) ni nini?
Kwa kweli Mama anayo nafasi kubwa mno kwa mtoto wake hata kama huyo mama ana miaka 90 na mtoto ana miaka 70. Lakini katika maisha yako ya ndoa na mke wako, namaanisha MKE wako, mke anayo nafasi kubwa mno kulinganisha na mama. Kuna mambo ambayo mama yako hawezi kuyafanya kwako kama mtoto hasa kwa mila zetu za Kiafrika. Kwa mfano wewe mtoto umetokewa na jipu "in the river between", kama hauko vizuri na mkeo mama yako atakuja kukukamua hapo? Tuwape umuhimu na heshima ambayo wote wanaistahili.
 
Back
Top Bottom