hakuna mungu wa pili bali mungu ni mmoja aliye pekee isipokuwa tumeambia tuwatii wazaziMpendwa kuna mambo mawili
1. Uliza kwa nini wanamkataa. Wazazi ni Mungu wa pili. Huwa wanaona mbali. Ukishajua pima.
2. Kama sababu zao hazina msingi mzuri, basi funga na kuomba wamkubali. Maana hata Biblia inasema mengine hayawezekaniki pasipo kufunga na kuomba.
Sizungumzii mungu, nazungumzia Mungu. Otherwise nimekuelewa.hakuna mungu wa pili bali mungu ni mmoja aliye pekee isipokuwa tumeambia tuwatii wazazi