Hatimaye Nimechukua maamuzi aya

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,129
2,000
JE bado niamini kuwa ananipenda
Ukirejea uzi huu wa Juu nimeamua kuachana na Mchumba wangu rasmi ila nimejifunza Yafuatayo
1:Usiamini chozi la Mwanamke -kwa hata mimi alinililia nikajiona napendwa
2:Mahusiano ya Mbali yana Changamoto
Ushauri kwa Wadada
1:Tenga mda wa kutosha kwa ajiri ya Mchumba au Mume Wako
2:Usiendekeze marafiki wa Wasap,Facebook na mitandao mingine ya Kijamii na Ukiwa online basi usimsahau mwenzako (Mchumba) share naye picha,video,text or audio keep his update ili haisi uwepo wako
3:Tofautisha kati ya Mchumba na Rafiki (usimfanye rafiki awe kama Mchumba na Mchumba awe kama Rafiki
4:Mwanaume anaitaji heshima kama kupendwa alisha pendwa na mama yake
5:Epuka kumjibu kwa lugha chafu
6:Usishindane na Mwanaume
7:Kuwa mwepesi kusamehe
NB:NILIMPENDA ALINIPENDA LAKINI MWACHE AENDE:(:(:(
 

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,466
2,000
Wanaliaga sana wakikumbuka walivyotendwa, sema wana uwezo wa kukufanya uelewe kwamba analia kwa ajili yako kumbe hapana. Mm mtu fulani alikuwa anapenda kulia lia mida ya saa 6-9usiku (sita-tisa). Kazi nakuwa nayo ni kubembeleza sana ili majirani wasiboreke, cha ajabu akiulizwa unalia nini?.....oooh unachat na wanawake wengine mbele yangu, Mara unapokea simu za wanawake mbele yangu, Mara nahisi utaniacha!, unitunze.....yaani hata kama unaongea na wanawake kwa mambo ya kupata riziki yeye hajali. Nikagundua kumbe wanakuwaga wanakumbuka walivyotendewa zamani na huanza kulia mbele yako...hahahaah
 

mensaah

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
985
1,000
Hongera mkuu umechukua uamuzi wa busara, dharau kwenye mahusiano ni kitu kibaya umempa fundisho
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,041
2,000
Pamoja na hayo yote next time jaribu kuwa flexible, usitake upende wewe tu peke yako. Ngoja nikuwekee shairi flani la Lucky Dube, kuna verse demu anamshauri
 

tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,963
2,000
Maisha ya sasahivi hayo maamuzi magumu utayafanya kila wiki. Kwa mapenzi ya kweli yapo ndotoni tu huku uraiani gegeda tu.


Ndukiiiii
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,041
2,000
"You Got No Right"

[Woman:]
I got lonely sometime
You were gone and left
Like you always do
You were never there
When I needed some care
You were never there when I needed somebody to talk to
Somebody came and took your place.

[Man:]
Oh! Baby
Somebody took my place
In your heart I can say
I'm used to it
By now, 'cause it happens all the time
That is one test I always fail
But one thing my heart can't
Understand... who's gonna take
The place of this boy in my heart
We used to play together,
Do everything together,
But now what am I gonna say

[Chorus:]
You've got no right
To call me father
I've got no right
To call you son,
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard
To be strong, but it hurts inside.

[Woman:]
As I pack my bags
To go now baby I thought
I could share this with you
The next time you fall In love
Treat your woman right
Remember that her place
Is not only in the Kitchen
All she needs is tender
Loving care.

[Chorus: till fade]
 

tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,963
2,000
"You Got No Right"

[Woman:]
I got lonely sometime
You were gone and left
Like you always do
You were never there
When I needed some care
You were never there when I needed somebody to talk to
Somebody came and took your place.

[Man:]
Oh! Baby
Somebody took my place
In your heart I can say
I'm used to it
By now, 'cause it happens all the time
That is one test I always fail
But one thing my heart can't
Understand... who's gonna take
The place of this boy in my heart
We used to play together,
Do everything together,
But now what am I gonna say

[Chorus:]
You've got no right
To call me father
I've got no right
To call you son,
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard
To be strong, but it hurts inside.

[Woman:]
As I pack my bags
To go now baby I thought
I could share this with you
The next time you fall In love
Treat your woman right
Remember that her place
Is not only in the Kitchen
All she needs is tender
Loving care.

[Chorus: till fade]
Mkuu wimbo gani huu na mwimbaji nani??
 

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,129
2,000
"You Got No Right"

[Woman:]
I got lonely sometime
You were gone and left
Like you always do
You were never there
When I needed some care
You were never there when I needed somebody to talk to
Somebody came and took your place.

[Man:]
Oh! Baby
Somebody took my place
In your heart I can say
I'm used to it
By now, 'cause it happens all the time
That is one test I always fail
But one thing my heart can't
Understand... who's gonna take
The place of this boy in my heart
We used to play together,
Do everything together,
But now what am I gonna say

[Chorus:]
You've got no right
To call me father
I've got no right
To call you son,
You got no right to talk to me
I've got no right to talk to you
Even though I try so hard
To be strong, but it hurts inside.

[Woman:]
As I pack my bags
To go now baby I thought
I could share this with you
The next time you fall In love
Treat your woman right
Remember that her place
Is not only in the Kitchen
All she needs is tender
Loving care.

[Chorus: till fade]
i like
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom