Nondoh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 298
- 478
Seriously kwa aliye tayari ani pm.
Natafuta mchumba, sifa ni kama zifuatazo;
. Awe binti asiyezidi miaka 28
. Mrefu kiasi
. Mwembamba si lazima sana ili hata akija nenepa asiwe tinginya
. Elimu sio kigezo sana
. Awe tayari kuishi na mimi popote iwe kijijini au mjini, maisha yangu mimi ni ya kutafuta riziki popote ilipo
. Ambaye hajawahi zaa
. Awe tayari kupima
. Awe mkweli na si mdanganyifu
. Dhamira yake.ni kweli iwe ni ndoa na sio kuja kwangu kusafisha nyota nae aonekane ameolewa
. Dini ...(tutaongea zaidi pm)
Ikiwa ni wewe au mdogo wako au rafiki yako au ndugu yako ambaye anahangaika kupata mume na kweli ana dhamira ya dhati mjulishe.
Note; matusi, kebehi, maelezoyasiyo na tija potezea, usikurupuke kuja...
Wachangiaje wawe wanawake tu. Wewe mvulana/ mwanaume potezea huu uzi