Anasema ana mtu wake, nitambadilisha vipi msimamo?

Tunakodisha Bunduki

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
824
1,000
Habar wana MMU
Jana kuna kamanzi nilikatupia maneno ya moyoni kuwa nakapenda sasa kila nikiweka kanaruka viunzi eti kanadai kuwa kako na mtu tayari. Swali linakuja, hivi nikionana nako naweza badili msimamo wake kweli au kama kuna mbinu nyingine naomba nijuzwe.
 

Bayyo

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,423
2,000
komaa naye tu ila uoneshe nia kuwa kweli unampenda, hao viumbe sometimes wanapima kama kweli una upendo wa dhati au ni tamaa ya mda! au ulingia na gia ya kutaka papuchi tu??
 

lucley

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
620
1,000
Habar wana MMU
Jana kuna kamanzi nilikatupia maneno ya moyoni kuwa nakapenda sasa kila nikiweka kanaruka viunzi eti kanadai kuwa kako na mtu tayari. Swali linakuja, hivi nikionana nako naweza badili msimamo wake kweli au kama kuna mbinu nyingine naomba nijuzwe.
Kama ni mechi za mchangani kigezo cha urafiki kinatosha kabisa kumtia zizini. Ila kama una malengo nae hakufai kwani ipo siku atakuja kukuacha kwa ajili ya mtu mwingine ambae ni bora zaidi yako kama ambavyo atamuacha mtu wake wa sasa ili awe na wewe.HASHINDWI
 

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
3,332
2,000
Si kakwambia ana mtu wake asee, unataka nini sasa?

Wewe siku ukiona kuna lijamaa linaomba ushauri kwa watu liweze kumparura mkeo au mpenzi wako ambae kimsingi anajitambua na ameshamwambia kuwa ana wewe, utajisikiaje? Hebu acha fujo asee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom