Boyfriend kaanza kuniambia kua ananipenda na tumekuwa

Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
36,868
2,000
Nilikua nasoma primary kuna kijana alikua akinisumbua sana kunitaka kimapenzi ,tulikua tunasoma darasa moja na mkondo mmoja,,alikua akinisumbua ananiandika kwenye majina ya wapiga kelele hata kama sijapiga kelele darasan

Halaf baadae tena ananiandikia visms kua ananipenda na lazima tu ntamkubali,,basi mi nachukiaa ,kwa kweli alinionea sana kuanzia la kwanza mpaka la 5,siku moja wakati wa mapumziko akaja kuniomba maji ya kunywa nikamnyima basi akayachukua na kuyamwaga nikamfata tukaanza kupigana ,eti siku hiyo na mim nikaamua kumtolea uvivu,tulipigana tukaachanishwa akaitwa kwa mwalimu alipewa viboko vya kutosha na mwalm mkuu maana alikua akinionea sana,,aisee nilikua simpendi yule kijana ,alikua mfupi ,mbaya,halaf anajiona mzuriii kumbe hovyoo

Nikaamua kumkalia kimua hakuna kusemeshana, Nilivyoingia darasa la sita akahamia kijana mmoja handsome,basi wadada si kujigonga kwa yule kaka ,nami nikatamani niwe karibu yake

Nikafanikiwa kuwa karibu yake ili nimuuzi yule kijana aliekua ananionea,basi nikawa karibu nae na kijana nae akadata kabisa nikampiga biti hakuna kuwa karibu na binti yoyote hapo shule la sivyo ntamkataa,
Basi yule kijana ikawa mwanzo na mwisho kunionea wala kunifata maana atachezea kipigo akabaki kuumia tu na nikawa namringia haswaa,,,,

Basi siku moja yule kaka akawa anataka tufanye mapenzi na kipindi hicho mi hata ungo sijavunja,nikamuambia subiri basi nami nikue niwe mkubwa tutafanyaa,basi akakubalii hahahaha,tukaja tukapoteana miaka mingi,
Juzi kati hapa nimeonana nae wote tukiwa likizo basi anakuja home kila mara kuniona ,kaanza kuniambia kua ananipenda na tumekuwa sasa na yupo tayari kunioa ,,

bado ni mzuri kwa kwelii lakin mi sina wazo nae kwa kweli ,nakumbuka zamani hadi alikua ananililia masikinii ananiambia basi hata kama simpendi hata tuonjane tu sasa akate kiu yake maana nilimuahidi nikiwa mkubwa ntampa

Basi bana na stori ikawa hivyooo ila bado sijampa jamanii sina wazo nae
 
ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
3,376
2,000
kwasababu alkutukuza acha akukose kunyimwa uchi ni adhabu anayopewa mwanaume baada ya kmtukuza mwanamke...
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
24,146
2,000
Nilikua nasoma primary kuna kijana alikua akinisumbua sana kunitaka kimapenzi ,tulikua tunasoma darasa moja na mkondo mmoja,,alikua akinisumbua ananiandika kwenye majina ya wapiga kelele hata kama sijapiga kelele darasan
Halaf baadae tena ananiandikia visms kua ananipenda na lazima tu ntamkubali,,basi mi nachukiaa ,kwa kweli alinionea sana kuanzia la kwanza mpaka la 5,siku moja wakati wa mapumziko akaja kuniomba maji ya kunywa nikamnyima basi akayachukua na kuyamwaga nikamfata tukaanza kupigana ,eti siku hiyo na mim nikaamua kumtolea uvivu,tulipigana tukaachanishwa akaitwa kwa mwalimu alipewa viboko vya kutosha na mwalm mkuu maana alikua akinionea sana,,aisee nilikua simpendi yule kijana ,alikua mfupi ,mbaya,halaf anajiona mzuriii kumbe hovyoo
Nikaamua kumkalia kimua hakuna kusemeshana,
Nilivyoingia darasa la sita akahamia kijana mmoja handsome,basi wadada si kujigonga kwa yule kaka ,nami nikatamani niwe karibu yake
Nikafanikiwa kuwa karibu yake ili nimuuzi yule kijana aliekua ananionea,basi nikawa karibu nae na kijana nae akadata kabisa nikampiga biti hakuna kuwa karibu na binti yoyote hapo shule la sivyo ntamkataa,
Basi yule kijana ikawa mwanzo na mwisho kunionea wala kunifata maana atachezea kipigo akabaki kuumia tu na nikawa namringia haswaa,,,,
Basi siku moja yule kaka akawa anataka tufanye mapenzi na kipindi hicho mi hata ungo sijavunja,nikamuambia subiri basi nami nikue niwe mkubwa tutafanyaa,basi akakubalii hahahaha,tukaja tukapoteana miaka mingi,
Juzi kati hapa nimeonana nae wote tukiwa likizo basi anakuja home kila mara kuniona ,kaanza kuniambia kua ananipenda na tumekuwa sasa na yupo tayari kunioa ,,bado ni mzuri kwa kwelii lakin mi sina wazo nae kwa kweli ,nakumbuka zamani hadi alikua ananililia masikinii ananiambia basi hata kama simpendi hata tuonjane tu sasa akate kiu yake maana nilimuahidi nikiwa mkubwa ntampa
Basi bana na stori ikawa hivyooo ila bado sijampa jamanii sina wazo nae
Hujamwambia kuwa asikusumbue tena kwa sababu sasa hivi una kijana JF??
 
Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,328
2,000
Toka la kwanza unagongwa sound?

Hii ni balaa. Kwa hiyo huyo adunje aliekua anakufuatilia toka la kwanza alikua anataka akutafune mkiwa la kwanza?

Dunia ina mambo, anyway mimi mwenyewe la kwanza nilikia monita nilitafuna vitoto balaa na mbaya zaidi nimeanza la kwanza najua kusoma na kuandika basi vitoto sio kuigonga kwangu, nilivitafuna.

Siku hizi hua nakutana nao wengine wake za watu nawakumbusha jinsi nilikua nikiwatafuna wanacheka sana,wengine tumepasha kiporo wengine wamenitolea nje.

Mpe huyo mshikaji asafishe nyota, amesubiri sana, muonjeshe tu hata goli moja jamani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom