mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Jana mida ya saa nane nikiwa maeneo ya Sinza kwa Meeda, nilipiga bia zangu kadhaa, pembeni nikamuona binti mrembo, nikabonga naye akaonekana katokea nje ya Dar na ni mgeni, nikakubaliana naye twende gheto mitaa ya Ubungo External, kufika gheto le kushikana shikana ghafla demu kaanza kunyoosha mikono huku anatetemeka.
Mikono ikamkakamaa akaanza kupiga mayowe huku anaongea lugha za ajabu duuuh, wapangaji wakaamka, sasa humu ndani kwangu bachelor nipo alone na baba mwenye nyumba ni mshenga wangu kwa binti mmoja ambaye nimetoa posa.
Baba mwenye nyumba pamoja na wapangaji wakanigongea kufungua binti katoka uchi huku anazungumza lugha zilezile, ikabidi ashikwe na jirani yangu mmoja ni mlokole akaanza kuombea, akaniuliza mkeo kaanza matatizo lini kwa aibu nikasema kaanza leo usiku.
Baada ya kutulia majini nikaita boda boda fasta imchukue.