Chigwiyemisi
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 531
- 230
Wadau kuna nyimbo naipenda, ni zilipendwa na inapigwa sana kwenye live band. Wanaiita AFRO. Sina hakika kama ndio jina au la. Naomba kujua imepigwa na nani na mwenye nayo naomba aniwekee nitashukuru sana. baadhi ya mistari ni kama vile "NIMERIDHIKA KUWA NA WEWE MAMAAAA.........UAMUZI NIMEKUACHIA WEWE.....AFRO MAMAAA HIYO MTOTO WA ....... LEO KWANGU KESHO KWAKO MAMAA UTANIKUMBUKA...KAA UKUMBUKE EE PENZI HUGEUKA EEEH!