Natafuta mpenzi (mchumba)

Nsanzi

Member
Nov 30, 2016
84
125
Matumaini yangu mko pouwaaa, na maandalizi ya sikukuu zilizo mbele yetu.

Mimi ni kijana wa kiume miaka 27, Elimu diploma.
Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa.
Ni Mkristo RC
Natafuta mpenzi (MWANAMKE) aje kuwa mchumba, na baadae mke.
mwenye sifa zifuatazo:
Umri miaka 23 hadi 26.
Elimu, sio chini ya kidato cha nne. Awe mkristo na mcha Mungu. Tabia iliyo njema.
Asiwe na mtoto ( single mother )
Bila kusahau, awe mrefu au wastani (asiwe mfupi).Na asiwe mnene pia.
Mwenye kujituma katika utafutaji (muajiriwa atapewa kipaumbele)

Ikikuingia akilini ukajiona unafaa basi unakaribishwa PM.

Update: Nimepitia post nyingi zenye hitaji kama langu sijaona mwenye uhitaji wa sifa nilizo nazo mimi binafsi. Ndio maana nimeona niweke post yangu...
 
Anthony Paschal

Verified Member
Oct 23, 2013
506
0
Matumaini yangu mko pouwaaa, na maandalizi ya sikukuu zilizo mbele yetu.

Mimi ni kijana miaka 27,
Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa.
Ni Mkristo RC
Natafuta mpenzi aje kuwa mchumba mwenye sifa zifuatazo:
Umri miaka 23 hadi 26.
Elimu, sio chini ya kidato cha nne. Awe mkristo na mcha Mungu. Tabia iliyo njema.
Asiwe na mtoto ( single mother )
Bila kusahau, awe mrefu au wasita (asiwe mfupi)
Mwenye kujituma katika utafutaji (muajiriwa atapewa kipao mbele)

Ikikuingia akilini ukajiona unafaa basi unakaribishwa PM.
Kijana wa kiume au wakike manake hujajipambanua vizuri, maneno kijana linatumika kwa jinsia zote na neno mchumba hivyo hivyo, sasa utaleta pm watu wasio sahihi, rekebisha taarifa yako ieleweke
 
Nsanzi

Member
Nov 30, 2016
84
125
Kijana wa kiume au wakike manake hujajipambanua vizuri, maneno kijana linatumika kwa jinsia zote na neno mchumba hivyo hivyo, sasa utaleta pm watu wasio sahihi, rekebisha taarifa yako ieleweke
Hahahahahaaa well said, ok mimi ni kijana wa kiume.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom