Wanachuo wengi maisha yao yako hivi!

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
309
Habarini wanaMMU,

Nimependa kuShare nanyi maisha ya wanachuo walio wengi ambayo ni uzinzi,ulevi bila kusahau Disco usiku kucha.
6228b10b2e01b40c500a883b2b3e519a.jpg

Ni hatari sana maisha hayo.

Kama ulipitia maisha hayo tupe experience yako.

Karibu!!!!!!!
 
Je weye ndo huyo hapo chini au?? Siku huyo wa juu akileta nawe utakuwaje maana yaonesha wa juu alibaki kuangalia pornooo. Kweli utoto raha mpaka baasi. Ulienda kutafuta anasa au ilim??
 
na baadae wanakuja kulia hoo gpa kimin na mwishowe wana temwa kwenye sr zao
 
Je weye ndo huyo hapo chini au?? Siku huyo wa juu akileta nawe utakuwaje maana yaonesha wa juu alibaki kuangalia pornooo. Kweli utoto raha mpaka baasi. Ulienda kutafuta anasa au ilim??
Sijawahi kufanya mchezo huo.Nilipo mimi sijawahi kushuhudia upuuzi huo,ht roomMate ananifahamu hawez kufny upuuzi huo mbele yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom