Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Niliingia Katika uhusiano na Msichana Mmoja nikafanikiwa kufanya nae mapenzi sasa cha ajabu kila nikiwa nachati naye nikawa namwambia amsalimie mdogo wake akawa ana mind ooh inaonekana unampenda sana huyo sijui Ulinitongoza kwa bahati mbaya ( Kimoyoni ni kweli kwa sababu mdogo wake ni mzuri sana) sasa mdogo wake naye alionesha dalili za kunitamani ilibidi nianze mishe fasta......
Na hiyo issue Dada yake anaijua kabisa sasa cha ajabu mambo yamebadilika kuna Mtu kawapa akili hawa nimeharibu kabisa mpaka aibu na Mdogo wake namkubali sana hawa ni Young girls 20 and 18 year old respectively ila ninaamini kuna mtu aliwasanua kwani tulikua tunaenda vizuri.
Niendeleze kukaza kwa huyu mdogo wake au niuchune tuu disko limeingia mmasai.